Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hakuna mapandikizi kweli humo?Maaskofu na Wachungaji wanaohudumu kupitia Kanisa la Glory Of Christ Tanzania Church(Ufufuo na Uzima) 'kanisa la Gwajima' wakiingia na kukaa katika chumba cha mahakama hapa katika Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Dodoma kwa ajili ya kufuatilia shauri la kanisa wanalohudumu ambalo limezuiwa kutoa huduma kuanzia juni 02, 2025.
Viongozi hawa wametoka maeneo mbalimbali nchini na kuja hapa Dodoma ili kujua hatma ya kanisa hilo lililopo chini ya Askofu Dkt. Josephat Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam.
Maaskofu na Wachungaji wanaohudumu kupitia Kanisa la Glory Of Christ Tanzania Church(Ufufuo na Uzima) 'kanisa la Gwajima' wakiingia na kukaa katika chumba cha mahakama hapa katika Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Dodoma kwa ajili ya kufuatilia shauri la kanisa wanalohudumu ambalo limezuiwa kutoa huduma kuanzia juni 02, 2025.
Viongozi hawa wametoka maeneo mbalimbali nchini na kuja hapa Dodoma ili kujua hatma ya kanisa hilo lililopo chini ya Askofu Dkt. Josephat Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam.
SawaMaaskofu na Wachungaji wanaohudumu kupitia Kanisa la Glory Of Christ Tanzania Church(Ufufuo na Uzima) 'kanisa la Gwajima' wakiingia na kukaa katika chumba cha mahakama hapa katika Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Dodoma kwa ajili ya kufuatilia shauri la kanisa wanalohudumu ambalo limezuiwa kutoa huduma kuanzia juni 02, 2025.
Viongozi hawa wametoka maeneo mbalimbali nchini na kuja hapa Dodoma ili kujua hatma ya kanisa hilo lililopo chini yani jambo Askofu Dkt. Josephat Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam.
Kwenye msafara wa mamba kenge nao huwa hawakosekani!Hakuna mapandikizi kweli humo?
Huelewi kituAliyetoa uamuzi wa kufungia kanisa kwasababu mtu mmoja ametoa kauli gani sijui ni zaidi ya MPUMBAVU! Yaani wanaiabisha serikali hawa watu. Unakosaje akili kiasi hicho?
Hakufunga kwa ajili ya mtu awe Gwajima au Askofu Mwanamapinduzi au yeyoteAliyetoa uamuzi wa kufungia kanisa kwasababu mtu mmoja ametoa kauli gani sijui ni zaidi ya MPUMBAVU! Yaani wanaiabisha serikali hawa watu. Unakosaje akili kiasi hicho?
Usifikiri kwamba Watu wote kabisa waliopo hapa ni Wajinga au hawana akili Kama ulivyo wewe. Kwa hiyo unataka kusema kwamba Baba wa familia akitenda kosa na kushitakiwa Mahakamani na kisha akakutwa na hatia, basi na watoto wake wote kabisa waliopo kwenye familia hiyo nao watakuwa wametiwa hatiani na kufungwa jela gerezani eti kwa sababu baba yao amefanya makosa??Huelewi kitu
Taasisi za diningazitakiwi kuendesha siasa
Iliyosajiliwa ni taasisi sio Gwajima
Kwa hiyo Gwajima kutumia taasisi kuendesha siasa mhalifu anakuwa taasisi waliompa platform kuwa imekiuka masharti ya usajili
Msajili hakumsajili Gwajima.Gwajima aweza hama kanisa au acha taasisi itaendelea
Taasisi ndio inawajibika kwa kukiuka masharti ya usajili sio mtu
Too bad huwa wanafichwa ili wasionyooshewe vidole ila hao watu ni viongoz wakubwa, kulurupuka si mara ya kwanza , mara kibao wameonyesha kutokufaham wanacho kifanyaAliyetoa uamuzi wa kufungia kanisa kwasababu mtu mmoja ametoa kauli gani sijui ni zaidi ya MPUMBAVU! Yaani wanaiabisha serikali hawa watu. Unakosaje akili kiasi hicho?
Ndio maana huko Ulaya na Binadamu waliostaarabika wanaweza kumsamehe Kosa Mharifu kwa sababu tu ana watu wengine nyuma yake wanaomtegemea ambao wanaweza kuathirika zaidi kwa kufungwa kwake. Huu ni Ustaarabu wa kibinadamuUsifikiri kwamba Watu wote kabisa waliopo hapa ni Wajinga Kama ulivyo wewe. Kwa hiyo unataka kusema kwamba Baba wa familia akitenda kosa na kushitakiwa Mahakamani na kisha akakutwa na hatia, basi na watoto wake wote kabisa waliopo kwenye familia hiyo nao watakuwa wametiwa hatiani na kufungwa jela gerezani eti kwa sababu baba yao amefanya makosa??
Au unamaanisha Nini hasa kusema hivyo?
NO REFORMS, NO ELECTIONHuelewi kitu
Taasisi za din haxiruhusiwii kuendesha siasa
Iliyosajiliwa ni taasisi sio Gwajima
Kwa hiyo Gwajima kutumia taasisi kuendesha siasa mhalifu anakuwa taasisi waliompa platform kuwa imekiuka masharti ya usajili
Msajili hakumsajili Gwajima.Gwajima aweza hama kanisa au acha taasisi itaendelea
Taasisi ndio inawajibika kwa kukiuka masharti ya usajili sio mtu
Familia haisajiwi kwa msajili baba wala watotoUsifikiri kwamba Watu wote kabisa waliopo hapa ni Wajinga au hawana akili Kama ulivyo wewe. Kwa hiyo unataka kusema kwamba Baba wa familia akitenda kosa na kushitakiwa Mahakamani na kisha akakutwa na hatia, basi na watoto wake wote kabisa waliopo kwenye familia hiyo nao watakuwa wametiwa hatiani na kufungwa jela gerezani eti kwa sababu baba yao amefanya makosa??
Au unamaanisha Nini hasa kusema hivyo?
Familia haisajiwi kwa msajili baba wala watoto
Msajili mkataba wa usajili wa taasisi hiyo ni kati yake na taasisi sio kati yake na Gwajima au Mwanamapinduzi au yeyote au mke au mtoto au muumini wa hilo kanisa
Viongozi waliopo na waumini waliopo waweza ondoka hata leo msajili atabaki kuangalia taasisi kama inazingatia maadili na masharti ya usajili tu si vinginevyo
Msajili kafunga sababu ya taasisi kukiuka masharti ya usajili.Hapo hahangaiki na hayo mavazi ya kiaskofu na kichungaji mliyoingia nayo mahakamani hayo hayamtishi msajili wala hakimu ni sheria tu
Gwajima hajaibuka tu ni kiongozi wa hiyo taasisi iliyofungiwa na msemaji mkuu wa hiyo taasisiKwa hiyo akiibuka Mtu leo hii akaenda pale katika Uwanja wa Soka wa Benjamin William Mkapa kisha akaitukana na kuikashifu Serikali basi watakaokamatwa na kushitakiwa kwa Kitendo hicho Cha kuikashifu Serikali watakuwa ni Wamiliki wa Uwanja huo wa soka au atakamatwa Mtu binafsi aliyehusika katika kuikashifu Serikali?????
Wewe ndo umehusika kufungia kwa kutumia akili ndogoHuelewi kitu
Taasisi za din haziruhusiwii kuendesha siasa
Iliyosajiliwa ni taasisi sio Gwajima
Kwa hiyo Gwajima kutumia taasisi kuendesha siasa mhalifu anakuwa taasisi waliompa platform kuwa imekiuka masharti ya usajili
Msajili hakumsajili Gwajima.Gwajima aweza hama kanisa au acha taasisi itaendelea
Taasisi ndio inawajibika kwa kukiuka masharti ya usajili sio mtu
Uongozi wa uwanja au soko utamkamata na kumkabidhi polisi chap chapKwa hiyo akiibuka Mtu leo hii akaenda pale katika Uwanja wa Soka wa Benjamin William Mkapa kisha akaitukana na kuikashifu Serikali, Je, watakaokamatwa na kushitakiwa kwa Kitendo hicho Cha kuikashifu Serikali watakuwa ni Wamiliki wa Uwanja huo wa soka au atakamatwa Mtu binafsi aliyehusika katika kuikashifu Serikali?????