Uchaguzi 2020 Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wanapaswa kumpigia kampeni Lissu hadharani wasijifiche wawe majasiri kama Gwajima! Matendo yao yanaonekana

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi!

Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA wa hali na mali!!

Hawa maaskofu ndio waliungana na CHADEMA kutangaza Lock down lakini hadi leo ukiwauluz lock down vipi hawana jibu!

Maaskofu hawa wamekuwa wakilalamikia tume kuwaengua wagombea wachadema huku wakionesha kuwa chadema hawana walio kosea bali wameonewa!

Bado najiuliza kwanini CHADEMA hawakuwapa hawa maaskofu Jukumu la kuwajazia fomu wanachadema ili wasikosee?

Hawa maaskofu walitaka tume ya taifa ndio ifanye kazi ya kuwawekea picha wakina Devotha Minja?

Maaskofu hawa wanatakiwa wawe mstari wa mbele kumnadi Lissu wasiogope maana matendo yao yanaonesha wazi wala hayajifichi waende mbele!

Wanatakiwa kuongeza nguvu kwa Lissu maana watazidi kulialia!

Wanapaswa kuwa majasiri kama Gwajima ambaye hakutaka kujificha kwenye visavabu vidogo bali aliweka miguu yote miwili!
 
Wapi Maaskofu wamesema kuwa CHADEMA wanaonewa? Kauli yako inatuaminisha kumbe kuna lengo mahususi la kuwaonea CHADEMA na si vyama vingine vya upinzani.
 
Wewe siasa zenu za CCM za kuendesha nchi kwa akili za dark ages Karne hii ya ishirini na moja ni za kishamba sana , jukumu la viongozi wote wa dini walio wakweli Ni kusimamia haki , Sasa Kama chama cha kijani kibichi kinavunja sheria za chi , kinakiuka katiba kwa kutumia tume ya uchaguzi wanyamaze ? Hawa ndio maaskofu sio yule porn star wenu wa kawe . Tume haina mamlaka ya kukata au kumwondoa mgombea yoyote yule , wenye mamlaka ni wananchi soma katiba hapa .Wenye mamlaka ya kumkata mgombea Ni wananchi acheni siasa za kishamba za kihutu msije mkailetea hii nchi matatizo .
IMG_20200910_181034_6.jpg
 
Wasalaam wana jamvi!

Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA wa hali na mali!!

Hawa maaskofu ndio waliungana na CHADEMA kutangaza Lock down lakini hadi leo ukiwauluz lock down vipi hawana jibu!

Maaskofu hawa wamekuwa wakilalamikia tume kuwaengua wagombea wachadema huku wakionesha kuwa chadema hawana walio kosea bali wameonewa!

Bado najiuliza kwanini CHADEMA hawakuwapa hawa maaskofu Jukumu la kuwajazia fomu wanachadema ili wasikosee?

Hawa maaskofu walitaka tume ya taifa ndio ifanye kazi ya kuwawekea picha wakina Devotha Minja?

Maaskofu hawa wanatakiwa wawe mstari wa mbele kumnadi Lissu wasiogope maana matendo yao yanaonesha wazi wala hayajifichi waende mbele!

Wanatakiwa kuongeza nguvu kwa Lissu maana watazidi kulialia!

Wanapaswa kuwa majasiri kama Gwajima ambaye hakutaka kujificha kwenye visavabu vidogo bali aliweka miguu yote miwili!

Mkuu hizi ni siasa tuu zinapita.Usiumize kichwa. Hao maaskofu wapo na watakuwepo tuu…. Wewe pambana kutafuta mkate wa wanao na wanaokuhusu. Ukweli ni kwamba hao unaowahangaikia kutwa mitandaoni..hata uwepo wako inawezekana hawana taarifa nao.

Siasa ni kitu cha ajabu sana..unakuwa busy 'kutafutia' Maisha wengine ilhali wewe huna kitu-na unakomaza mishipa kabisa. Kuna watu CCM wanaichukia kuliko unavyojua..ila ndo wanaifaidi wao na familia zao kuliko yeyote. Hivi unajua hao maaskofu wanaoiponda CCM kama unavyosema...ndo wanatumia diplomatic passports..ndo wanaingiza magari bila ushuru nk…?

Wanajuana hao…...jipange tafuta karo ya wanao...Januari hiyo...…..

Kaa kimya…..
 
Wasalaam wana jamvi!

Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA wa hali na mali!!

Hawa maaskofu ndio waliungana na CHADEMA kutangaza Lock down lakini hadi leo ukiwauluz lock down vipi hawana jibu!

Maaskofu hawa wamekuwa wakilalamikia tume kuwaengua wagombea wachadema huku wakionesha kuwa chadema hawana walio kosea bali wameonewa!

Bado najiuliza kwanini CHADEMA hawakuwapa hawa maaskofu Jukumu la kuwajazia fomu wanachadema ili wasikosee?

Hawa maaskofu walitaka tume ya taifa ndio ifanye kazi ya kuwawekea picha wakina Devotha Minja?

Maaskofu hawa wanatakiwa wawe mstari wa mbele kumnadi Lissu wasiogope maana matendo yao yanaonesha wazi wala hayajifichi waende mbele!

Wanatakiwa kuongeza nguvu kwa Lissu maana watazidi kulialia!

Wanapaswa kuwa majasiri kama Gwajima ambaye hakutaka kujificha kwenye visavabu vidogo bali aliweka miguu yote miwili!
Kwa hiyo maaskofu wanaohubiri haki Ni wapinzani na maadui wa ccm
 
Wewe siasa zenu za CCM za kuendesha nchi kwa akili za dark ages Karne hii ya ishirini na moja ni za kishamba sana , jukumu la viongozi wote wa dini walio wakweli Ni kusimamia haki , Sasa Kama chama cha kijani kibichi kinavunja sheria za chi , kinakiuka katiba kwa kutumia tume ya uchaguzi wanyamaze ? Hawa ndio maaskofu sio yule porn star wenu wa kawe . Tume haina mamlaka ya kukata au kumwondoa mgombea yoyote yule , wenye mamlaka ni wananchi soma katiba hapa .Wenye mamlaka ya kumkata mgombea Ni wananchi acheni siasa za kishamba za kihutu msije mkailetea hii nchi matatizo .View attachment 1565946

Kwa hiyo tume ifanye kazi ya kuwajazia fomu?
 
Kwa hiyo maaskofu wanaohubiri haki Ni wapinzani na maadui wa ccm

Nani kasema ni maadui wa CCM? Kwani siasa ni uadui? Kwani wakimpigia Kampeni Lissu kuliko kujificha ni kosa?

Kwanini wasimsaidie hadharani?
 
Wasalaam wana jamvi!

Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA wa hali na mali!!

Hawa maaskofu ndio waliungana na CHADEMA kutangaza Lock down lakini hadi leo ukiwauluz lock down vipi hawana jibu!

Maaskofu hawa wamekuwa wakilalamikia tume kuwaengua wagombea wachadema huku wakionesha kuwa chadema hawana walio kosea bali wameonewa!

Bado najiuliza kwanini CHADEMA hawakuwapa hawa maaskofu Jukumu la kuwajazia fomu wanachadema ili wasikosee?

Hawa maaskofu walitaka tume ya taifa ndio ifanye kazi ya kuwawekea picha wakina Devotha Minja?

Maaskofu hawa wanatakiwa wawe mstari wa mbele kumnadi Lissu wasiogope maana matendo yao yanaonesha wazi wala hayajifichi waende mbele!

Wanatakiwa kuongeza nguvu kwa Lissu maana watazidi kulialia!

Wanapaswa kuwa majasiri kama Gwajima ambaye hakutaka kujificha kwenye visavabu vidogo bali aliweka miguu yote miwili!
Inauma eh!....mbona wengine mnao wote pamoja na Bakwata! si afadhali Hawa wameonesha msimsmo kwa hoja sio wengine wanelala doro ,kazi kusifia na kugombea amani Hali wakijua hamna haki!
 
Hoja za viongozi weru wa dini zijibiwe, NEC ni tume huru?
 
Wakati mwingine akili inabidi ijitabulishe yennewe kwamba ipo na inafanya kazi;-
Wenyeviti wote wa serikali za mtaa na vitongoji nchi nzima hakuna hata mmoja kutoka CCM aliyekosea fomu za uteuzi na wote walirudisha kwa wakati na hakuna hata wakati mmoja walikuta ofisi zimefungwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ila wa kutoka vyama vingine wote walikosea na hawakuwa na saa hivyo kukuta ofisi zote zimefungwa.
Wagombea kwa ubtnge na udiwani ni yale yale. Ssa watu wa MUngu unataka wasemeje??????????????????
 
Kama vile tunavyoaminishwa CCM wao hawakosei nchi nzima. ukijitoa akili jivike uwakili basi
 
Inauma eh!....mbona wengine mnao wote pamoja na Bakwata! si afadhali Hawa wameonesha msimsmo kwa hoja sio wengine wanelala doro ,kazi kusifia na kugombea amani Hali wakijua hamna haki!

Nawao wajitokeze hadharani wasijifiche hahaha wajitokeze hadharani
 
Wakati mwingine akili inabidi ijitabulishe yennewe kwamba ipo na inafanya kazi;-
Wenyeviti wote wa serikali za mtaa na vitongoji nchi nzima hakuna hata mmoja kutoka CCM aliyekosea fomu za uteuzi na wote walirudisha kwa wakati na hakuna hata wakati mmoja walikuta ofisi zimefungwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ila wa kutoka vyama vingine wote walikosea na hawakuwa na saa hivyo kukuta ofisi zote zimefungwa.
Wagombea kwa ubtnge na udiwani ni yale yale. Ssa watu wa MUngu unataka wasemeje??????????????????

Kwa hiyo kama hawakukosea sisi tufanyeje? Swala ni hapa Bagonza na Niwemugizi walitakiwa kuwajazia fomu
 
Wasalaam wana jamvi!

Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA wa hali na mali!!

Hawa maaskofu ndio waliungana na CHADEMA kutangaza Lock down lakini hadi leo ukiwauluz lock down vipi hawana jibu!

Maaskofu hawa wamekuwa wakilalamikia tume kuwaengua wagombea wachadema huku wakionesha kuwa chadema hawana walio kosea bali wameonewa!

Bado najiuliza kwanini CHADEMA hawakuwapa hawa maaskofu Jukumu la kuwajazia fomu wanachadema ili wasikosee?

Hawa maaskofu walitaka tume ya taifa ndio ifanye kazi ya kuwawekea picha wakina Devotha Minja?

Maaskofu hawa wanatakiwa wawe mstari wa mbele kumnadi Lissu wasiogope maana matendo yao yanaonesha wazi wala hayajifichi waende mbele!

Wanatakiwa kuongeza nguvu kwa Lissu maana watazidi kulialia!

Wanapaswa kuwa majasiri kama Gwajima ambaye hakutaka kujificha kwenye visavabu vidogo bali aliweka miguu yote miwili!
Wakimsifia mfaulme wanakuwa watumishi wa MUNGU
 
Kumbe Gwajima naye ni Askofu wa kulinganishwa na Maaskofu kama Niwemugizi, Bagonza, nk! Nilikua sijui.

By the way, wewe ni nani wa kuwazuia Watanzania kutoa maoni yao!! Mbona CCM huwa mnajiona mna haki sana ndani ya nchi hii kiasi cha kutotaka kukosolewa au kuelimishwa kwa lolote lile?

Mlishawahi kugundua ya kwamba nyinyi hamna tofauti yoyote ile na Wakoloni wa Kizungu wa karne 20 kurudi nyuma!
 
Wasalaam wana jamvi!

Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA wa hali na mali!!

Hawa maaskofu ndio waliungana na CHADEMA kutangaza Lock down lakini hadi leo ukiwauluz lock down vipi hawana jibu!

Maaskofu hawa wamekuwa wakilalamikia tume kuwaengua wagombea wachadema huku wakionesha kuwa chadema hawana walio kosea bali wameonewa!

Bado najiuliza kwanini CHADEMA hawakuwapa hawa maaskofu Jukumu la kuwajazia fomu wanachadema ili wasikosee?

Hawa maaskofu walitaka tume ya taifa ndio ifanye kazi ya kuwawekea picha wakina Devotha Minja?

Maaskofu hawa wanatakiwa wawe mstari wa mbele kumnadi Lissu wasiogope maana matendo yao yanaonesha wazi wala hayajifichi waende mbele!

Wanatakiwa kuongeza nguvu kwa Lissu maana watazidi kulialia!

Wanapaswa kuwa majasiri kama Gwajima ambaye hakutaka kujificha kwenye visavabu vidogo bali aliweka miguu yote miwili!
Bora ya hawa kuliko wale ambao mwanzo mwisho wanaongelea amani na utulivu pasipo kutaja neno haki. Kuna mambo mengi yanajitokeza kwa wafanya maamuzi ambayo ni ya kunyima haki wagombea ambayo yanaashiria kuvunja amani lakini hawakemei ili baadaye wasije pewa lawama kama amani itavunjika.

Jana nimewasikia Askofu Mstaafu wa Dar es Salaam Polycarp Pengo na yule wa Arusha(TEC), mwanzo mwisho hakuna mahali wamekemea vitendo vya kunyima haki watu ili kuepusha vurugu na uvunjifu wa amani kama wanao nyimwa haki hawataridhika na mchakato wa uchaguzi, badala yake ni kulaumu kuwa watu wasitumie maneno makali
 
Back
Top Bottom