Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi!
Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA wa hali na mali!!
Hawa maaskofu ndio waliungana na CHADEMA kutangaza Lock down lakini hadi leo ukiwauluz lock down vipi hawana jibu!
Maaskofu hawa wamekuwa wakilalamikia tume kuwaengua wagombea wachadema huku wakionesha kuwa chadema hawana walio kosea bali wameonewa!
Bado najiuliza kwanini CHADEMA hawakuwapa hawa maaskofu Jukumu la kuwajazia fomu wanachadema ili wasikosee?
Hawa maaskofu walitaka tume ya taifa ndio ifanye kazi ya kuwawekea picha wakina Devotha Minja?
Maaskofu hawa wanatakiwa wawe mstari wa mbele kumnadi Lissu wasiogope maana matendo yao yanaonesha wazi wala hayajifichi waende mbele!
Wanatakiwa kuongeza nguvu kwa Lissu maana watazidi kulialia!
Wanapaswa kuwa majasiri kama Gwajima ambaye hakutaka kujificha kwenye visavabu vidogo bali aliweka miguu yote miwili!