KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Nyoka wa Shaba alikuwa hajuvue Gamba kama CCM ka Mbali na mimiukikuta mchungaji ama pastor anajiita Cobra,ogopa sana.
JK asichezee imani ya Wapecosite na hakuna aliyefanya hivyo akafanikiwa kama yupo karibu na wewe mpelekee ujumbe huu!!Acha kumtisha Rais wetu, hujui ni chaguo la mungu!
Uko vizuri KING COBRA sema jina lako tu ndio utata kidogoJK asichezee imani ya Wapecosite na hakuna aliyefanya hivyo akafanikiwa kama yupo karibu na wewe mpelekee ujumbe huu!! Akumbuke kuwa hata pale jangwani alianguka wakati nyinyi mpo munamlinda!!! Hivyo Mungu asipomlinda nyinyi mnafanya bure!! Amani ya Taifa hili ipo kwasababu Mungu anasikia Maombi ya watu wachache wanao omba!
Ni Suala la mda wapuuzi watajulikana tu kwani hata suala kikombe Serikali nzima ilienda Loliondo ikiongozwa na mkuu wa nchi na ndo maana amewakumbuka wachawimwingine ni upuuzi, yani hawakupeleka jina halafu kuna jinga eti linasema Rais angewafuata awaulize. soma sheria vizuri iliyompa Rais mamlaka. #KING COBRA
...siiamini kabsaaa serikali,hasa wanapoteua watu wawili kwa jina moja halafu hata wao hawajui nani ni nani wakati wamefanya vetting.full uchakachuzi.hi yote ni hofu ya serikali tatu...
Ni Suala la mda wapuuzi watajulikana tu kwani hata suala kikombe Serikali nzima ilienda Loliondo ikiongozwa na mkuu wa nchi na ndo maana amewakumbuka wachawi
JK asichezee imani ya Wapecosite na hakuna aliyefanya hivyo akafanikiwa kama yupo karibu na wewe mpelekee ujumbe huu!!
Akumbuke kuwa hata pale jangwani alianguka wakati nyinyi mpo munamlinda!!! Hivyo Mungu asipomlinda nyinyi mnafanya bure!!
Amani ya Taifa hili ipo kwasababu Mungu anasikia Maombi ya watu wachache wanao omba!
mwingine ni upuuzi, yani hawakupeleka jina halafu kuna jinga eti linasema Rais angewafuata awaulize. soma sheria vizuri iliyompa Rais mamlaka. #KING COBRA