Kama unasoma huu ujumbe ikiwa sahivi ni baada ya mwaka 2050...
Nikuambie Tu aliyeuza bandari yetu Kwa waarabu alikua Rais wa awamu ya sita ndugu Samia suluhu... Tabu zote mnazopata ni Kwa ajili yake
Someni in between the lines.....Nilinyamaza na nitaendelea kunyamaza.
Ĥakuna mwenye nguvu wala ubavu wa kuweza kuligawa taifa hili.....
Itoshe kuwa ujumbe wangù.......[emoji1][emoji1][emoji1]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.