Masheikh wenzangu na wengine kote nchini, ni vema tukaiga mfano wa Kadinali wa Wakatoliki Pengo kuwahimiza ndugu Waislam kuisoma Katiba Inayopendekezwa na hatimaye kuipigia kura kadri ulivyoielewa sio kukaa na kuanza kutoa hoja mbaya zisizo na mashiko humu ndani.