Maaskofu wakuu wasaidizi jifunzeni kuzika na watu wa kawaida msisubiri matajiri hata wa kawaida anawasubiria

Maaskofu wakuu wasaidizi jifunzeni kuzika na watu wa kawaida msisubiri matajiri hata wa kawaida anawasubiria

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ushauri tu
Kwenu
Maaskofu wakuu
Wapendwa wasaidizi wa maaskofu

Anzeni vikao vya kuambiana
Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii

Mnaposikia misiba ya waumini jifunzeni kuhudhuriq msisubiri kusikia tajwa hapo juu ndio tunakuja kuwaonq
Flan
Kuna baadhi ya maaskofu hawaensi kusalishq maiti hatakama umehudumu miaka 100
Wasikie

Mzee wa lanisa flani huyooo

Asikie mzazi wa mzee wa kanisa tajiri huyooo anahudhuria ibda siku ya kwanza msiban mpaka anamzika

Nawengine hata kwenda mkoani kisa tu mh alikuwa tajiri analea kanisa

Tujifunze hizi nafsi n zq kupita
Kama hamwaminiii ulizeni hizi jumuiya zina vitukooo

Msiba unatokea wa mwanajumuiya askofu anambiwa tuna msiba...anamleta parishweka

Hapo akoonekana siku 2. YA nne mnakutana kanisani anasalisha yeye

Na sie tunatamanii kusalishwa na nyiee Wakubwaaa

Kazinikunakazii

mbarikiwe
 
Hivi nini kimemuondoa huyo dkt huko India

Ova
 
Hilo ni kweli kabisa mtumish

Kuna ubaguzi mkubwa sana kwenye makanisa yetu juzi Kuna muumini kafia kanisan st Joseph hata kupelekwa hospital hakuna kisa tu masikin paroko akashindwa kumpeleka hospital akafia kanisan

Angekuwa tajiri haya yote yasingetokea
 
Back
Top Bottom