chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Mimi chademaMpigie Makala atume muamala, mwambie teyati nimeshatukana chadema.
Mimi chademaMpigie Makala atume muamala, mwambie teyati nimeshatukana chadema.
Labda kwa Id ile sio hii.Mimi chadema
Gwajima hajaitaja CCM kwa Hoja yoyoteCCM mwenezi hayupo ajibu press ya Gwajima,?
ACHANA NA HUYU MKOMUNISTWa kufanyaje?
walawiti mmevurugwa baada ufirauni wenu kuanikwa kwenye vyombo vya habari vya njeKwenye chama cha wahuni
chedema hakuna wasyengeMimi chadema
Kamanda, tuwekee hayo maazimio yenu kwa maandishi basi!
Ni pendekezo zuri, hata kama haki huko mahakamani inaweza kuwa ni ya kubahatisha tu.Erythrocyte , WHY NOT GO TO THE COURT AND CHALLENGE UPUUZI WA MSAJIRI? NINA UHAKIKA HAKUNA MAHAKAMA INAUNGA MKONO UONEVU HUU UNAOFANYWA NA SERIKALI/HAKIMU/JUDGES
Nafikri ndicho alichosema Heche!Erythrocyte , WHY NOT GO TO THE COURT AND CHALLENGE UPUUZI WA MSAJIRI? NINA UHAKIKA HAKUNA MAHAKAMA INAUNGA MKONO UONEVU HUU UNAOFANYWA NA SERIKALI/HAKIMU/JUDGES
Kuweka maazimio kwa mfumo wa video ni jambo jema
Aisee! Maisha yana mnyumbuliko ndugu yangu. Wassira alisema CHADEMA ingekufa mwaka 2013 lakini leo miaka 12 baadae na mkongojo wake mkononi bado anapambana nayo.Kidogo kidogo tutafika. Ile siku ya habari za kutotambua Viongozi feki, huku akiwa kwao Tarime nadhani, kule kusiko Sheria, Heche alisema hamtambui Msajili Wala haitabadili kitu. "Akaongee na mke wake sisi kama Chama msimamo wetu hautobadilika". Leo anasema wangepewa barua ya show-cause. Who is being impunity now? Naona wenziye wamemkanya hadi kina Mnyika kawapa uacting kabla hata Msajili hajamwambia mkewe.