Mabaamedi wa Sinza na Kinondoni

Hii wapi jamani na mimi niende?!

mmh jaman hata hajapendeza...sasa wakimshika kalio walevi atamlalamikia nan akati mali yote ipo wazi? muulize mshana jr atakua anamjua
 
mmh jaman hata hajapendeza...sasa wakimshika kalio walevi atamlalamikia nan akati mali yote ipo wazi? muulize mshana jr atakua anamjua

Usiseme walevi sema wanywaji, kuwaita watu walevi Ni utani wa ngumi huo.
 
Inaonekana una uzoefu nao sana hao watu wa maeneo uliyotaja
 
Ukipata muda wa kuongea na mabaamedi jaribu kufanya hivyo, kuna wengine ni wife material sema maisha tu ndio yanawasukuma kufanya ufuska.
 
umeongea ukweli mtupu mkuu. nami naweza kuthibitisha hilo pasipo shaka kwa kuwa hata mi yamenikuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…