MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Ukisoma historia hata ya Biblia, maelfu ya miaka huko nyuma Musa alitumia Hebrew alphabet kuandika vitabu vilivyomo kwenye Biblia, pia ukifuatilia jamii zingine kama Wahindi, Wachina n.k. Walikua na maandiko yao enzi hizo na kila moja walikua na aina fulani hivi ya kuandika, na kuna kumbukumbu zimetunzwa za huo uandishi.
Ukija ukanda wetu huu, sijawahi kuona au kusikia jamii yoyote iliyoandika chochote au hata aina ya characters au herufi iliyotumika na mababu zetu, naongea kuhusu ukanda huu wa sub-Sahara, hivyo Misri au Egypt haipo. Huku maporini ya Congo, mababu zetu waliandika chochote?
Kabla mzungu hajaja na kutufundisha kuandika kwa kutumia alphabet yake, je tulikua na yetu? Mara nyingi huwa naona watu wakisema tuachane na uzungu turudi kwenye vya kwetu, je tuna hata uandishi au aina yetu ya herufi kama ilivyo kwa Mchina na michoro yake ile.