Tatizo waafrika tunatafuta historia ya Afrika kwa kutegemea vyanzo vya habari kutoka kwa wazungu/waarabu jambo ambalo huwezi kupata zaid zaid utapewa ile story yao ya uongo baada ya ukoloni.
Nilishangaa kuona Russia ina historia ya mamilioni ya miaka kuhusu Afrika na mitume wake, kuhusu historia ya kweli ya Biblia iliwahusu watu weusi na sio hao majambazi wa middle east.
Ushahidi huu si wa kukurupuka bali ulitolewa live na dicteta na Rais mbabe bwana PUTIN ambaye ana kila aina ya secret info za dunia hii, sasa nitashangaa hizi kondoo zinazoendelea kupinga ukweli wakati hata siri za wachungaji wao hazina.
Historia ya Afrika italetwa/kuvumbuliwa na waafrika, tusome elimu sahihiz tuanze uchunguzi na utafiti huru bila kuwahusisha wafia dini, wazungu, waarabu ama wale wafuasi wa mila za watu weupe, maana hao ndio waliotumika/wanaotumika kuhujumu na kuleta njama za kupunguza nguvu ya Uamsho wa watu weusi.
Maandiko na nakala za waafrika zipo na shahidi zipo, lkn huwezi kuzitapa na hutozipata bila mafunuo maana zimefichwa kwa makusudi na wanaotutawala wanasaidiana na hao hao watu weupe.
Dunia ina siri nyingi na maovu mengi aliyofanyiwa mtu mweusi.
Siku watu wakijua kuwa Mtume muhamad ni mzushi na mwizi wa historia ya watu weusi je watakubali?, watu wakisikia kuwa biblia ni stories za uongo zilizobuniwa kutoka kwa nakala za mababu wa Afrika je mtakubali?.
Siku watu wakijua kuwa kiswahili na bantú languages zote ndizo chanzo/chimbuko la lugha na maandishi je watakubali?.
Historia ya Afrika ipo ktk lugha za mwanzo za waafrika na sio hizi lugha zetu za kihuni nowadays.
Historia ya waafrika ipo, tuitafute