vp kiuno kinaendeleaje kimepata tabibu?
Wenzio wapo na ndoa yao wdnavyiona vya chumbani tu sawa na hao mabachela
Wanawake wa kuoa hawapo kabisaaaa, 99% ni pasua vchwa, twende kazi!!!!!!!!!
Hambohambo! Unajua kiuno ya Mwana wa Adamu kina Bolojointi mbili left & Right, so ya left ishakaa njema, baada ya kupata "Mshauri Muelekezi Mtibabu"
bolojointi ya right ndo bado yasuasua.
Wanatimua mavumbi ssi twalaaaaThe secretary mume ana raha yake, Young_Master wangu full poems humu ndani, mara leo napendwa, mara nimeombwa msamaha, tukienda kwenye mechi ndio usiseme..........., ila sasa nina ingizo jipya, nazisuka sharubu peke yangu bila msaidizi, mupenzi babu Asprin umeamkajeeeeee?? lol!
safi sana..
itabidi nianzishe biashara ya Condom Vending machines
kila conner chooni, stend, jikoni mabafuni, hoteline, sebuleni,
kwenye magari ..( better be safe than sorry )..:fish2:
Halafu kila unapoweka hiyo vending machine unaweka pia "VENDING" bed na "vending" dust/condom binsafi sana..
itabidi nianzishe biashara ya Condom Vending machines
kila conner chooni, stend, jikoni mabafuni, hoteline, sebuleni,
kwenye magari ..( better be safe than sorry )..:fish2:
naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela wamejaa
Hahahahaaa hujajua raha ya kuwa nayo muda wote!
Muulize Cantalisia atakupa ratiba!
Utasikia kuna cha mchana,asubuhi,adhuhuri,alasiri,jioni,usiku wa manane,usiku wa matisa n.k
Jaribu uone
Ikiwa maziwa unapata kwanini ujipe tabu ya kuzoa kinyesi kisa ufugaji.
avatar yako inaonesha kua we bado mdogo sana..humu kwa wakubwa umeingiaje???
nimeingia tumbo mbele makalio nyuma.we unafikiri mi ni yule dogodogo wako?
Wenzako sa ivi wanakunywa uji, we unafanya nini humu....kengele imegonga..muda wa kwenda kuhesabu vijiti