Lacksinho
Member
- Feb 4, 2012
- 12
- 6
Siyo ladha tu bali anaweza kukosa nutrients muhimu ktk mwili wake...hawa ndio wale wanakula tumbo lijae tuUvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.
Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.