Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Yan unaweza anza kupika saa1 alafu unakuja kula saa4 uko tena una kula dak10 inabowa sanaaaa
 
Ugali na dagaa mchele.

dagaa wa 500, nyanya2, carot1, na kitunguu maji1 na kipande cha limao/ndimu

Kwenye jiko la gesi ni dk5

NB: MBOGA NA UGALI VINALIWA KWENYE VYOMBO VILIVYOPIKIWA KUPUNGUZA KAZI YA KUOSHA VYOMBO
Sio lazima mpaka uunge na nyanya.
Pika ugali kisha nenda kanunuw dagaa mchele.
Ulirudi nawa mikono kata matonge
 
Kwenye nyumba zetu hizi za uswahilini majokofu yanawashwa kwa masaa, unajikuta kila siku vinachacha
 
Ugali samaki wa kukaanga.
Unanunua geneni kwenye gazeti . Sfuria moja tu ya ugali.

Ova
 
Vyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika?

Asanteni
Na issue nyingine mabachela tunateseka ni kwenye kufua...mi njia rahisi nina mashati 18 na Boxer 22 navifua vyote naviweka, na nia jeans zisizopungua 9 kadeti 3..nachofanya jeans kufuliwa ni nadra sana nakuwa nazi-edit(haifuliwi inafutwa na maji na kitambaa kwa ustadi mkubwa)...so kufua nafua mara moja kwa mwezi (Boxer,Vest,Mashati na sox pair 3).na haipiti siku tatu nafua shati moja usiku ninavokuwa nimetoka mihangaikoni .Jeans ikifuliwa siku hiyo lazima icheke ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…