Nambye mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] baba swalehe
Ni kweli mkuu sijaolewa natafuta mume wa kunioaUnaweza ukawa sio single lkn huja olewa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaaaa banana na mabachela wenzio hao [emoji125] [emoji125]Ni kweli mkuu sijaolewa natafuta mume wa kunioa
Hizo shida ndio haswaa zinatufanya tughairi kuingia huko maana tukikumbuka tunavyowala hao wake zenu wa huko kwenye Ndoa ndio maana tunasita na kubaki mabachelaAmbacho hamjui ni kuwa na sisi tulikuwa mabachela kama nyinyi, kwahiyo hiyo huo utamu na shida zenu tuna zijua.
Lkn wengi wenu utamu na shida ya ndoa mnavisikia tu vijiweni
Hahaaaa sisi hao mabachela wa kike tuna wapiga sana mkuu hata ninyi mnalijua hiloHizo shida ndio haswaa zinatufanya tughairi kuingia huko maana tukikumbuka tunavyowala hao wake zenu wa huko kwenye Ndoa ndio maana tunasita na kubaki mabachela
Hahaaaa banana na mabachela wenzio hao [emoji125] [emoji125]
Mm nmeoa mkuu ... Wake zangu watatu ... Michepuko minne .. Nipo tuliiNiambie bachela mwenzangu
Njoo Pm mkuu pliz
Hahaaaa nimekuja kuwa changamsha tu nyie vijana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huku chama la wana umekuja kufanya nini sasa mkuu?
Nlkuja kuulizia bagia nmezkosa jukwaa la siasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huku chama la wana umekuja kufanya nini sasa mkuu?