Mabachela wote single boy/Single girl

Mabachela wote single boy/Single girl

Ambacho hamjui ni kuwa na sisi tulikuwa mabachela kama nyinyi, kwahiyo hiyo huo utamu na shida zenu tuna zijua.
Lkn wengi wenu utamu na shida ya ndoa mnavisikia tu vijiweni
 
Ambacho hamjui ni kuwa na sisi tulikuwa mabachela kama nyinyi, kwahiyo hiyo huo utamu na shida zenu tuna zijua.
Lkn wengi wenu utamu na shida ya ndoa mnavisikia tu vijiweni
Hizo shida ndio haswaa zinatufanya tughairi kuingia huko maana tukikumbuka tunavyowala hao wake zenu wa huko kwenye Ndoa ndio maana tunasita na kubaki mabachela
 
Hizo shida ndio haswaa zinatufanya tughairi kuingia huko maana tukikumbuka tunavyowala hao wake zenu wa huko kwenye Ndoa ndio maana tunasita na kubaki mabachela
Hahaaaa sisi hao mabachela wa kike tuna wapiga sana mkuu hata ninyi mnalijua hilo
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huku chama la wana umekuja kufanya nini sasa mkuu?
Hahaaaa nimekuja kuwa changamsha tu nyie vijana.
Lkn kusema kuwa karibuni chama la wa kubwa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sijakuelewa yaani uko pm kupo wapi na kuna nn
Huko PM kuna big bom na kitumbua kwa hiyo mkifika huko mnaongea jinsi ya kuviunganisha ili mpate utamu ulio sawa.
 
Back
Top Bottom