Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Wale wa kwenye ndoa pliz mkae mbali na uzi huu msije kufa kwa stress.
Tujadili yale yanayotuhusu sisi mabachela vile tunaishi kwa Raha kuliko walioko kwenye ndoa,
vile tunavyowatafuna wale viumbe bila kipingamizi wala kuogopa chochote .
Na vile tunatafuta pay na kutumia bila vikwazo vya familia.
Vile tunapika,kufua inshort kazi zote za kibachela tunakuja kuzimwaga hapa.
NB;uzi ni kwa Ambao hawajaoa au kuolewa (Mabachela)
.