Mabachelor wa JamiiForums!

Nimeisoma hii thread nikakumbuka thread ya yule jamaa aloandaa revenge kwa mchumba wake siku ya tar 07 this Jan. Nikakumbuka story yake nikajiuliza hivi mimi ni nani mpaka niwowe sa hivi.?

Nyie oeni, mi bado nipo nipo na waolewaji
 
Ubachela utauchukia kipindi umeahidiwa na manzi anakuja kukupa tendo pendwa halafu ghafla anakwambia nimekwama halafu kinacho nifanyaga nichoke zaidi unajikuta mwili umejiandaa na mechi hapo ndio hua nawaonea wivu walio Oa
 
inafika mahali mwanamke umekaa nae mda mkapendana sanaa mwisho anakuambia sa iv sina mud na wewe sjui kwanini nimewaza sana cjui kwanini gafla ivyo kuniambia hilo neno na hamu ya kuoa ndo ilikua hiyoo inakuja

kuna mambo kadhaa nayaona kwake kama kudharau vitu navyomfanyia na kuhisi kama ni vidogo sana sjui ni mazingira aliyopitia au ni sror anazozipata kwa mashoga zake wanavyofanyiwa niko njia panda kweli ubachela ctaki kuuendekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…