Mabachelor wa JamiiForums!

Mabachelor wa JamiiForums!

Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Usitupangie maisha broo
 
Mm kuna binti kanambia ana bikra jf ata sijui anafananaje ila nimeishatangaza ndoa uko pm
 
Back
Top Bottom