Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #81
atakuja hana shida hyyoAtakuja?
yoyote mkuuHuyo kuku wa aina gani? hawa wa kizungu?
Njoo wewe mikocheni Batakuja hana shida hyyo
huo mjumba upo duniani?Njoo wewe mikocheni B
Naishi peke angu kwenye hili jumba
zamu zamu kivipi?Tifanye zamu zamu mkuu
ameen karibu chamaniAsante mkuu,
Tukiendeleze chama chetu...
Leo njoo upike kwangu kesho kutwa nakuja kupika kwakozamu zamu kivipi?
ahahaaa sasa tupo wengi tutapikaje?Leo njoo upike kwangu kesho kutwa nakuja kupika kwako
Hvyo hvyoo mkuuuahahaaa sasa tupo wengi tutapikaje?
Duniani hapahapa, kupika napika ila shida ni kuosha vyombohuo mjumba upo duniani?
kuna mashine mjengo kama huo unakosaje hela ya mashine?Duniani hapahapa, kupika napika ila shida ni kuosha vyombo
....teh hee hee hee!.povu!KAMA MIMI NI REJECT WAZAZI WAKO WATAKUFA KIFO KIBAYA SANA WALA HUTOWAONA WATAZIKWA KAMA REJECT MATERIAL MWILINI
haiwezi kupenya maana mimi sio reject nina thamani yangu kubwa tu.kama unadhani kuolewa ndo mtu anakuwa na thamani ni wewe .....teh hee hee hee!.povu!
......imepenya hiyooooooo!
tuanzie kwanguHvyo hvyoo mkuuu
Mashine za kuosha vyombo??kuna mashine mjengo kama huo unakosaje hela ya mashine?
nenda alibabaMashine za kuosha vyombo??
Sijawahi kuziona
Niambie zinauzwa wapi
Okay,price inaanzia ngapi?nenda alibaba