Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahahhhatko pamoja sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhhatko pamoja sio?
ok ila sikuaminiMimi ni bachelor lakini sijui kupika.
Nakukaribisha mkuu kwenye kisamvuYaan kisamvu ndo mboga ya majan iliyobaki ambayo inafaa kuliwa mjin. Sababu huwez kukuta imepandwa kwenye miferej ya choon tofaut na kisamvu utakuwa unakula uchafu 2 kama upo mjin.
Kabichi hapana dadaakehatko pamoja sio?
watu vigeugeu kweliHahahahh
kwanini?Kabichi hapana dadaake
Kwa nini huniamini sasa?ok ila sikuamini
ahahaaa acha hizo
Walah mi nitatoa vinywaji haijalishi aina gani na wingi wa watu[emoji86]sio vizuri kula kula mahotelini au kwa mama ntilie.vyakula vya mtaani vinawekewa vitu vingi sana
hii post ni mahususi kwa mabachelors tunaelekezana kitu cha kupika hapa kwa urahisi.
kesho napendekeza tule ugali na mboga ya kabeji na kuku najua wengi hampendi kabeji maana ni chakula cha mifugo ila tutalipika vizuri kila mtu ataenjoy
muda wa kuanza kupika saa sita na robo mchana kesho
mahitaji
kabeji ndogo 1
kuku nusu ukiamua kujilipua kuku mzima poa tu
nyanya 2
kitunguu kikubwa 1
hoho 1
pilipili mbichi1
apple cider vinegar vijiko 5
mafuta ya kupikia nusu kikombe
chumvi robo kijiko
unga wa ugali nusu au robo kilo
maji lita mbili
saa sita tuonane hapa tuelekezane hatua kwa hatua
unaweza ukapendekeza tupike nini pia mimi namwaga tu jinsi ya kupika tanzania tumejaliwa vyakula vingi na vipo masokoni kwa bei poa pia. tunajitesa na chips,sijui burger mshahara unaishia huko hatuna tunachokifanya hapa hadi mabogatutapika
ahahaa ukafanyeje?Umenikumbusha long time,kabla sijachukua jiko,nilipanga Ilala,nyumba Ina wasichana kibao,nilikuwa naenda sokonj mwenyewe nafanya vitu vyangu,Si kuombwa kusaidiwa huko.....
njoo na matundaWalah mi nitatoa vinywaji haijalishi aina gani na wingi wa watu[emoji86]
.....teh hee hee hee...ngoma nagwa hiyo!..kitu 'reject' kinazugia ubachelor;naHuwa Najiuliza umeolewa...??
Na kama umeolewa Unawatoto wangap..??
Mumeo yupo wap..??
Post zako Haziendan kabisa na Vibint
Ok pouwa buana 1 day ntakuja jua tuu
Nawaona [emoji28]watu vigeugeu kweli
KAMA MIMI NI REJECT WAZAZI WAKO WATAKUFA KIFO KIBAYA SANA WALA HUTOWAONA WATAZIKWA KAMA REJECT MATERIAL MWILINI.....teh hee hee hee...ngoma nagwa hiyo!..kitu 'reject' kinazugia ubachelor;na
..kingejua kupika watu wangeshafika bei!
......ntafuatilia timoro maroroso!