Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

Yaan kisamvu ndo mboga ya majan iliyobaki ambayo inafaa kuliwa mjin. Sababu huwez kukuta imepandwa kwenye miferej ya choon tofaut na kisamvu utakuwa unakula uchafu 2 kama upo mjin.
Nakukaribisha mkuu kwenye kisamvu
 
sio vizuri kula kula mahotelini au kwa mama ntilie.vyakula vya mtaani vinawekewa vitu vingi sana
hii post ni mahususi kwa mabachelors tunaelekezana kitu cha kupika hapa kwa urahisi.
kesho napendekeza tule ugali na mboga ya kabeji na kuku najua wengi hampendi kabeji maana ni chakula cha mifugo ila tutalipika vizuri kila mtu ataenjoy

muda wa kuanza kupika saa sita na robo mchana kesho
mahitaji
kabeji ndogo 1
kuku nusu ukiamua kujilipua kuku mzima poa tu
nyanya 2
kitunguu kikubwa 1
hoho 1
pilipili mbichi1
apple cider vinegar vijiko 5
mafuta ya kupikia nusu kikombe
chumvi robo kijiko
unga wa ugali nusu au robo kilo
maji lita mbili
saa sita tuonane hapa tuelekezane hatua kwa hatua

unaweza ukapendekeza tupike nini pia mimi namwaga tu jinsi ya kupika tanzania tumejaliwa vyakula vingi na vipo masokoni kwa bei poa pia. tunajitesa na chips,sijui burger mshahara unaishia huko hatuna tunachokifanya hapa hadi mabogatutapika
Walah mi nitatoa vinywaji haijalishi aina gani na wingi wa watu[emoji86]
 
Umenikumbusha long time,kabla sijachukua jiko,nilipanga Ilala,nyumba Ina wasichana kibao,nilikuwa naenda sokonj mwenyewe nafanya vitu vyangu,Si kuombwa kusaidiwa huko.....
 
Huwa Najiuliza umeolewa...??

Na kama umeolewa Unawatoto wangap..??

Mumeo yupo wap..??

Post zako Haziendan kabisa na Vibint

Ok pouwa buana 1 day ntakuja jua tuu
.....teh hee hee hee...ngoma nagwa hiyo!..kitu 'reject' kinazugia ubachelor;na
..kingejua kupika watu wangeshafika bei!
......ntafuatilia timoro maroroso!
 
.....teh hee hee hee...ngoma nagwa hiyo!..kitu 'reject' kinazugia ubachelor;na
..kingejua kupika watu wangeshafika bei!
......ntafuatilia timoro maroroso!
KAMA MIMI NI REJECT WAZAZI WAKO WATAKUFA KIFO KIBAYA SANA WALA HUTOWAONA WATAZIKWA KAMA REJECT MATERIAL MWILINI
 
Back
Top Bottom