Mabachelor wote tukutane hapa kesho tule vizuri

Mimi kabej situmii nielekez mapish ya kisamvu
Kwanza uwe na kisamvu kilichotwangwa
Pili chemsha kisamvu chako kuna option mbili wawezatwangia vitunguu swaumu pamoja na kisamvu au wakati wa kukiunga ndio unaviweka
Uwe na vitunguu Maji
Vitunguu swaumu
Nazi au Katanga ni choice yako
Wengine wataongezea
 
Nyie wakike ambao Bado hamjaolewa mnaitwa maspinters, anyway tumekuelewa ila soon tutakua sio members tena
 

mualiko flan amizing mbona sina taarifa bibie
 


hii ni pitiku nini mkuu.
 
Mkuu,kile kilichotwangwa tayari huwa sikiamini,wanachanganya na kilichokomaa,pia usafi wake ni wa mashaka si unajua konokono kwa kupenda kujificha katika visamvu?,kama unaweza chambua na utwange mwenyewe.
 
miss natafuta huwa nikiona uzi wako moyo huwa unanienda mbio kama jipu limemuona magufuli... Ni PM bs hata nifarijike nafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…