Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Umenikumbusha kisamvu hasa cha wali.... Nina mda sijakilaMimi kabej situmii nielekez mapish ya kisamvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha kisamvu hasa cha wali.... Nina mda sijakilaMimi kabej situmii nielekez mapish ya kisamvu
Wasukuma mnapenda kisamvu kwani my wii?Yani sipendi kisamvu balaaa
Siku moja ntakinunua ntakukaribisha tukipikeUmenikumbusha kisamvu hasa cha wali.... Nina mda sijakila
Okey nasubiriSiku moja ntakinunua ntakukaribisha tukipike
Hapana hatupendi hicho ni chakula cha mbuzi....[emoji1]Wasukuma mnapenda kisamvu kwani my wii?
Kwahiyo hata kaka ako nisimpikie hiyo kumbeHapana hatupendi hicho ni chakula cha mbuzi....[emoji1]

Asanteeesio vizuri kula kula mahotelini au kwa mama ntilie.vyakula vya mtaani vinawekewa vitu vingi sana
hii post ni mahususi kwa mabachelors tunaelekezana kitu cha kupika hapa kwa urahisi.
kesho napendekeza tule ugali na mboga ya kabeji na kuku najua wengi hampendi kabeji maana ni chakula cha mifugo ila tutalipika vizuri kila mtu ataenjoy
muda wa kuanza kupika saa sita na robo mchana kesho
mahitaji
kabeji ndogo 1
kuku nusu ukiamua kujilipua kuku mzima poa tu
nyanya 2
kitunguu kikubwa 1
hoho 1
pilipili mbichi1
apple cider vinegar vijiko 5
mafuta ya kupikia nusu kikombe
chumvi robo kijiko
unga wa ugali nusu au robo kilo
maji lita mbili
saa sita tuonane hapa tuelekezane hatua kwa hatua
unaweza ukapendekeza tupike nini pia mimi namwaga tu jinsi ya kupika tanzania tumejaliwa vyakula vingi na vipo masokoni kwa bei poa pia. tunajitesa na chips,sijui burger mshahara unaishia huko hatuna tunachokifanya hapa hadi mabogatutapika
jumapili ya kwanza ya mabachelor wa jf
menu!ugali kabeji
mapishi:
maandalizi
osha kuku wako
osha kabeji kata kata ndogo ndogo kwa kisu au kile kifaa cha kukatia kabeji siziwe ndogo sana lakini
kama ni kuku wa kienyeji mchemshe kwanza
1
weka sufuria jikoni na maji kidogo tuseme robo kikombe na kuku kama ni wa kisasa weka tangawizi na vitunguu swaumu na chumvi sio lazima lakini.
2 maji yanapokaukia weka mafuta ya kupikia kiasi endelea kukaanga hyo nyama
3 weka vitunguu maji endelea kukaanga vikiiva kidogo katia hoho usikate ndogo ndogo kata kubwa kubwa kabisa kama za mishikaki endelea kukaanga ukiona vinashika chini weka nyanya na vinegar kijiko kimoja
4 endelea kukaanga hivohivo hadi nyanya irojeke kabisa mwaga huko kabeji yako ya kutosha usiweke nyingi angalia kipimo cha mafuta ulichoweka maana kabeji inakula mafuta sana
endelea kukoroga huku ukiongeza vinegar kidogokidogo hadi iive.
good idea miss, congratssio vizuri kula kula mahotelini au kwa mama ntilie.vyakula vya mtaani vinawekewa vitu vingi sana

yapnyam nyam..[emoji239] [emoji239] [emoji486]
We mtoto kwa mapishi haya si nikuoe tu uachane na ubachelorsio vizuri kula kula mahotelini au kwa mama ntilie.vyakula vya mtaani vinawekewa vitu vingi sana