Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Tunamtaka Bashe wizara ya Utalii
Jamaa ni mbunifu na mchapakazi sana
Hafai kupelekwa wizara nyeti kama hiyo mtu mwenye urafiki wa kindaki na matajiri wakubwa wakiwemo wanaotuhumiwa kutorosha rasilimali za nchi.

Uwaziri uwekewe mipaka sasa, isiwe sehemu ya majaribio nchi inaenda kubaya. Kuna wakati unajiuliza hata huyu??????
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.

Neno dhamira limepoteza maana siku hizi.
 
Habari hzi zinaweza kuwa na mashiko iala wasiwasi wangu ni kwamba wapo kwenye bajeti hivyo huenda wakasubiri bajeti ipite ndio afanye mambo. Ila nionavyo ni kama kuna harufu ya kubadilisha mawaziri.
 
Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.

Mapendekezo mengine bwana! Yaani Mwakyembe aondolewe kwasababu alikuwa anacheka!!
 
Mh. Rais wetu mtukufu Dkt John Joseph Pombe Magufuli njoo huku JF unaitwa. Shikamoo JF
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Kuwen na hakika kwa habar mnazozitoa humu msijetumbuliwa
 
Mapendekezo mengine bwana! Yaani Mwakyembe aondolewe kwasababu alikuwa anacheka!!
Hawana akili hawa ndezi!!;tunajua bila mwakyembe hakuna richmond,bila richmond lowasa ilkulu!!;lazima watoe mayowe!!;hawana jipya!!;kitwanga katwangwa haya lete kelele zingine!!
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Wizara ya mambo ya ndani ni ya Muungano mbona hujapendekeza jina la mzanzibari hata mmoja kushika wadhifa huo. Historia inaonyesha tokea awamu ya kwanza Wazanzibari kwa ujumla waliimudu sana nafasi hiyo. Akina Ali Hassan Mwinyi,Ali Ameir, Hassan Nassor Moyo, Hayati Natepe, n.k.katika wengi. Ubaguzi punguza au ndio ulikuwa mwisho wako wakufikiri?
 
Sasa unataka uzanzibari au utendaji Kazi?
 
Nimesoma hii hoja kwa urefu mara tatu na maoni yote yaliyotolewa kwenye uzi ili kuhakikisha naelewa vizuri kabla ya kutoa maoni yangu.

Mosi, hakuna mtu yeyote anayejua nani atateuliwa na Rais Magufuli atakapotangaza mabadiliko kwenye baraza la mawaziri baada ya Kitwanga kuondolewa. Kusema kwa uhakika ni nani ataondolewa na kwamba eti Bashe na Serukamba watapata nafasi ni ushehe Yahya.

Pili, ni wazi kuwa hii ni character assassination. Ukisoma huu uzi kwa makini, utagundua kuwa waleta hoja na watetea hoja ni Ajol na Pagan Amum. Hizi ID inawezekana ni za mtu mmoja. Kwa mujibu wa uzi huu, wanasema Hussein Bashe ndiye atakayepewa nafasi ya January Makamba. Kwahiyo hapa hoja ni uwaziri wa January Makamba. Kwa mantiki hiyo, Ajol na Pagam ni kundi la Bashe linalotumika hapa kumshambulia January Makamba.

Kama assumption yangu ni kweli, kwahiyo mabaki ya Edward Lowassa ndani ya CCM ndiyo yanawashambulia wana-CCM. Hizi ni siasa uchwara. Bashe na watu wake wanaamini kabisa kwamba wanaweza kupata nafasi ya uwaziri kwa kuwashambulia watu wengine?

TIME WILL TELL!
 
Sijui kwanini ila natamani sana J atumbuliwe.
Halafu siri za uchakachuzi wa October ziwe hadharani....
Vita vya kunguru...[emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom