Hafai kupelekwa wizara nyeti kama hiyo mtu mwenye urafiki wa kindaki na matajiri wakubwa wakiwemo wanaotuhumiwa kutorosha rasilimali za nchi.Tunamtaka Bashe wizara ya Utalii
Jamaa ni mbunifu na mchapakazi sana
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Jf kuna misamiati balaakuna tabia wanafanana na jk ya kupenda visompido
Atakuwa amecheza karata ya ushindiJPM kama kweli anataka tusonge mbele awateue na baadhi ya wabunge wa upinzani kuwa mawaziri mfano zitto, mdee,Bulaya ama lissu. hapo tutasonga. hawa wa ccm ni walewale tu.....
Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.
Bogus mama yako.
Kuwen na hakika kwa habar mnazozitoa humu msijetumbuliwaMuda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Hawana akili hawa ndezi!!;tunajua bila mwakyembe hakuna richmond,bila richmond lowasa ilkulu!!;lazima watoe mayowe!!;hawana jipya!!;kitwanga katwangwa haya lete kelele zingine!!Mapendekezo mengine bwana! Yaani Mwakyembe aondolewe kwasababu alikuwa anacheka!!
Wizara ya mambo ya ndani ni ya Muungano mbona hujapendekeza jina la mzanzibari hata mmoja kushika wadhifa huo. Historia inaonyesha tokea awamu ya kwanza Wazanzibari kwa ujumla waliimudu sana nafasi hiyo. Akina Ali Hassan Mwinyi,Ali Ameir, Hassan Nassor Moyo, Hayati Natepe, n.k.katika wengi. Ubaguzi punguza au ndio ulikuwa mwisho wako wakufikiri?Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Watashirikiana na Mzee wakeHata teua toka wapi maana CCM yote mbovu! na akimtoa makamba ndio majungu yatazidi na hapo ndio patakua patamu sasa
Wewe ni mwanaharamu so huwezi kujua maana ya mamaBogus mama yako.
Sasa unataka uzanzibari au utendaji Kazi?Wizara ya mambo ya ndani ni ya Muungano mbona hujapendekeza jina la mzanzibari hata mmoja kushika wadhifa huo. Historia inaonyesha tokea awamu ya kwanza Wazanzibari kwa ujumla waliimudu sana nafasi hiyo. Akina Ali Hassan Mwinyi,Ali Ameir, Hassan Nassor Moyo, Hayati Natepe, n.k.katika wengi. Ubaguzi punguza au ndio ulikuwa mwisho wako wakufikiri?