Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Raha ya hela nyingi Mkuu ni matumizi na uhuru...sasa we kila day unajambiwa tu unajambiwa tu izo hela nyingi zinakua hazina maslahi...mana hatuishi milele ujue mkuu.Ila ni kazi ngumu kwakweli, sio maisha yale japo anapata hela nyingi
Hahah mkuu ...nimetania tu ile kazi si kazi mkuu ni mbaya ndo mana nikatumia kujambiwa...mana wafanyabiashara wanapenda sana kusema biashara zao zimehambiwa pale ambapo hawauzi kitu..yani gunduUnastahili kupimwa mkojo[emoji23] [emoji13]
Nilishangaa sana logic ya huyo mdau mkuu yaniHaiwezekani, achana na bangi za huyo jamaa
We jamaa.Kupandisha vyeo nako shida?
Manyumbu bwana
Ubishi gani mkuu hapa ni kueleweshana tu huyo malkia hakuna mamlaka ambayo anaweza kufanya bila KUSHAURIANA na waziri mkuu sasa ubishi gani??Ucha ubishi wa kishamba unaharibu thead
Good.Ubishi gani mkuu hapa ni kueleweshana tu huyo malkia hakuna mamlaka ambayo anaweza kufanya bila KUSHAURIANA na waziri mkuu sasa ubishi gani??
Katiba ya canada na australia zote zinaonyesha waziri mkuu ndio mwenye mamlaka ya nchi 98% ila malkia yeye ni wa kusherehesha tu na ana mamlaka mawili tu basi sasa nani ndio TOP ??
Embu tueleweshane usipanic tupo hapa kujifunza
Wewe inaonekana hukwenda kabisa shule ama ulisindikiza wenzako.Ivi shule mlienda kufanya nn?
Head of State wa Canada ni Queen of England
Mkuu itakua nilimsindikiza mama ako ambaye aliishia kufeli akaja kua golikipa wa baba ako!Wewe inaonekana hukwenda kabisa shule ama ulisindikiza wenzako.
Umejileta mwenyewe king ndiyo uzuri wa watu tulioenda shule. Kama ungekua umeenda shule usinge Google maana nimelijibu hilo kwa Zitto junior na hata yeye anajua. Rudi nyuma katika comments zangu utaona nimeorodhozesha nchi 16 ambazo Queen ni head of state ikiwepo na Jamaica na New Zealand sasa sijui kumtukana mama yangu na baba yangu ambao waloshajifia siku nyingi kumekusaidia nini.Mkuu itakua nilimsindikiza mama ako ambaye aliishia kufeli akaja kua golikipa wa baba ako!
Msiwe mnakurupuka tu kuattack watu MF mana utakuja kupewa counter attack ambayo hutakujq kuisahau maishani!View attachment 744214
Huyo Governor General anamuwakilisha tu Queen of England yani anawakilisha mamlaka ya Queen of England ila Queen akiwa Canada uyo Governor ni pimbi tu...
Eti ndo Tanzania ya viwanda inasubiriwa kwa watu wenye mawazo finyu kama yako.
Wewe leo ndiyo umeingia shift hapo Lumumba ya buku 7 kazi yako ni kutema shudu tu.ulitakaje ww mbona hasara kwa taifa unakalia majungu tu
Eti umeenda shule? Sema sio mbaya mana hata John Pombe nae kaenda shule tena ni msomi wa kiwango cha PhD japo ni ya maganda ya korosho...Umejileta mwenyewe king ndiyo uzuri wa watu tulioenda shule. Kama ungekua umeenda shule usinge Google maana nimelijibu hilo kwa Zitto junior na hata yeye anajua. Rudi nyuma katika comments zangu utaona nimeorodhozesha nchi 16 ambazo Queen ni head of state ikiwepo na Jamaica na New Zealand sasa sijui kumtukana mama yangu na baba yangu ambao waloshajifia siku nyingi kumekusaidia nini.
Mtu aliyeenda shule hana tabia za kiswahili hata kama ni mzaramo wa mwanarumango. Watu hubishana kwa hoja ndiyo maana tunaitwa wasomi ninyi mliokimbia umande na elimu zenu za darasa la saba mnashindwa ku argue kwa hoja mnakimbilia kutukana.
Hata hivyo hongera kwa kuwa hata na smart phone na bundle la shilingi 200.
Unajifanya unajuaaa eti una elimuuuu. Sasa malkia wa England ndo Nani?Ivi shule mlienda kufanya nn?
Head of State wa Canada ni Queen of England
We chizi fresh..Unajifanya unajuaaa eti una elimuuuu. Sasa malkia wa England ndo Nani?
Kuna malkia wa UK(England,Wales, northern Ireland na Scotland) au GB ukiongeza na hizo Australia,Canada,New Zealand etc mpaka huko Falkan Argentina
Tuna morali ya kutosha kabisa ndio maana tunafukuza mwizi kimya kimya. Kuna watu watakataa kama hii sio Tanzania. Tutagawa kisago ambacho hakuna atakaeamini. Karibuni sana bado siku 11 tu!Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............
Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Katiba ya Australia kwenye overview yake wameandika haya yafuatayoGood.
Weka hiyo Katiba iliyotamka "majaliwa wao ndio ana mamlaka ya nchi 98%"
Weka icho kifungu ili nione kama tunaweza kuelewana.
Watumishi wanaosubiri kupandishwa vyeo waliotumikia kwa muda wa kisheria sio hao tu mkuu!Hivi mnaolalamika mna akili sawasawa? Wanajeshi kupanda vyeo imekuwa kitu kipya na kudhani ni matayarisho ya tarehe 26 April?
Je, mnajua taratibu za kijeshi!? Afisa wa jeshi ( commissioned officer) lazima apandishwe cheo kulingana na mda aliotumikia pia kulingana na mahitaji ya kiuongozi na utendaji wa jeshi.
Eleweni kabla ya kutoa lawama.
Unajua una uelewa mdogo au huelewi kabisa au unapenda kubisha uonekane na ww unajua....Katiba ya Australia kwenye overview yake wameandika haya yafuatayo
The Crown and Responsible Government
As well as being a federation, Australia is a constitutional monarchy. Under this system of government, as the term
suggests, the head of State of a country is a monarch whose functions are regulated by a constitution. The concept of
‘the Crown’ pervades the Constitution. For example, the Queen is part of the Parliament (section 1), and is empowered
to appoint the Governor-General as her representative (section 2). The executive power of the Commonwealth is vested
in the Queen and is exercisable by the Governor-General as her representative (section 61).
Despite the terms of the Constitution, the Queen does not play a day-to-day role in the Commonwealth Government.
Those few functions which the Queen does perform (for example, appointing the Governor-General) are done in
accordance with advice from the Prime Minister.
The Governor-General performs a large number of functions. However, apart from exceptional circumstances
(discussed below), the Governor-General acts in accordance with the advice of Commonwealth Ministers. The reason
for this is the principle of ‘responsible government’ which is basic to our system of government and which underlies
our Constitution. Under this principle, the Crown (represented by the Governor-General) acts on the advice of its
Ministers who are in turn members of, and responsible to, the Parliament. It is for this reason that section 64 of the
Constitution requires Ministers to be, or become, members of Parliament
Inajieleza yenyewe kwamba head of state ni cheo tu cha ushereheshaji ila waziri mkuu ndio kila kitu...... Ndio maana hakuna kitu malkia (kupitia gavana anyemuwakilisha) anaweza fanya mpaka waziri mkuu akiafiki sasa kwa maelezo hayo nani ndio kila kitu au kisa anaitwa head of state ceremonial ndio inatufanya tumuona ana mamlaka kuliko waziri mkuu???
We ndio umeandika au mange kimambi kahack account yako?? 😀😀😀😀 nmecheka sana hapo mwishoniEti umeenda shule? Sema sio mbaya mana hata John Pombe nae kaenda shule tena ni msomi wa kiwango cha PhD japo ni ya maganda ya korosho...
Hata Lipumba nae ni msomi tena wa ngazi uprofesa..
So u can imagine hawa watu wanaojiita "eti wasomi".....
Nimegugo kukupa reference taarira ww sasa huelewi nini apo?
Sasa kama ulikua unajua ni head of state mbona ulishoboka kuniquote kua nimeenda shule kumsindikiza mama ako??
Kuhusu tabia za kiswahili....iko mm mimi nina personalities nyingi yani mm ni poker face...so UNAPOKELEWA UNAVYOKUJA sasa unakuja kizaramo zaramo unataka upokelewe kama Queen of England? We chizi kweli!
Nimekupa facts mimi sinaga time ya kuargue na wapuuzi then nikakutukana kwa kunipotezea muda wangu ambao ni mali..
Kwaiyo kijijini kwenu ulivonunuliwa smartphone ya tekno na shemeji yako wa mjini walikupongeza sio??
If so, basi Aksante!