Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Ila ni kazi ngumu kwakweli, sio maisha yale japo anapata hela nyingi
Raha ya hela nyingi Mkuu ni matumizi na uhuru...sasa we kila day unajambiwa tu unajambiwa tu izo hela nyingi zinakua hazina maslahi...mana hatuishi milele ujue mkuu.
So bora kapandishwa na yeye akatumie sasa
 
Unastahili kupimwa mkojo[emoji23] [emoji13]
Hahah mkuu ...nimetania tu ile kazi si kazi mkuu ni mbaya ndo mana nikatumia kujambiwa...mana wafanyabiashara wanapenda sana kusema biashara zao zimehambiwa pale ambapo hawauzi kitu..yani gundu
 
Ucha ubishi wa kishamba unaharibu thead
Ubishi gani mkuu hapa ni kueleweshana tu huyo malkia hakuna mamlaka ambayo anaweza kufanya bila KUSHAURIANA na waziri mkuu sasa ubishi gani??

Katiba ya canada na australia zote zinaonyesha waziri mkuu ndio mwenye mamlaka ya nchi 98% ila malkia yeye ni wa kusherehesha tu na ana mamlaka mawili tu basi sasa nani ndio TOP ??

Embu tueleweshane usipanic tupo hapa kujifunza
 
Good.
Weka hiyo Katiba iliyotamka "majaliwa wao ndio ana mamlaka ya nchi 98%"
Weka icho kifungu ili nione kama tunaweza kuelewana.
 
Wewe inaonekana hukwenda kabisa shule ama ulisindikiza wenzako.
Mkuu itakua nilimsindikiza mama ako ambaye aliishia kufeli akaja kua golikipa wa baba ako!

Msiwe mnakurupuka tu kuattack watu MF mana utakuja kupewa counter attack ambayo hutakujq kuisahau maishani!
Screenshot_20180414-123052_Samsung%20Internet.jpg

Huyo Governor General anamuwakilisha tu Queen of England yani anawakilisha mamlaka ya Queen of England ila Queen akiwa Canada uyo Governor ni pimbi tu...

Queen of England...akiwa Canada ni Queen of Canada ...huyo huyo akiwa Jamaica ni Queen of Jamaica ambaye ndo huyo huyo Queen of Australia na New Zealand...

Au wewe ulijua malikia ni Malikia wa Nguvu?

Eti ndo Tanzania ya viwanda inasubiriwa kwa watu wenye mawazo finyu kama yako.
 
Mkuu itakua nilimsindikiza mama ako ambaye aliishia kufeli akaja kua golikipa wa baba ako!

Msiwe mnakurupuka tu kuattack watu MF mana utakuja kupewa counter attack ambayo hutakujq kuisahau maishani!View attachment 744214

Huyo Governor General anamuwakilisha tu Queen of England yani anawakilisha mamlaka ya Queen of England ila Queen akiwa Canada uyo Governor ni pimbi tu...

Eti ndo Tanzania ya viwanda inasubiriwa kwa watu wenye mawazo finyu kama yako.
Umejileta mwenyewe king ndiyo uzuri wa watu tulioenda shule. Kama ungekua umeenda shule usinge Google maana nimelijibu hilo kwa Zitto junior na hata yeye anajua. Rudi nyuma katika comments zangu utaona nimeorodhozesha nchi 16 ambazo Queen ni head of state ikiwepo na Jamaica na New Zealand sasa sijui kumtukana mama yangu na baba yangu ambao waloshajifia siku nyingi kumekusaidia nini.

Mtu aliyeenda shule hana tabia za kiswahili hata kama ni mzaramo wa mwanarumango. Watu hubishana kwa hoja ndiyo maana tunaitwa wasomi ninyi mliokimbia umande na elimu zenu za darasa la saba mnashindwa ku argue kwa hoja mnakimbilia kutukana.

Hata hivyo hongera kwa kuwa hata na smart phone na bundle la shilingi 200.
 
Wataalamu wa jeshini walipewa ofisi za kisiasa za wilaya na mkoa na Pombe, sasa mkuu wa jeshi anawarejesha kwenye kazi yao inayostahili.
 
Umejileta mwenyewe king ndiyo uzuri wa watu tulioenda shule. Kama ungekua umeenda shule usinge Google maana nimelijibu hilo kwa Zitto junior na hata yeye anajua. Rudi nyuma katika comments zangu utaona nimeorodhozesha nchi 16 ambazo Queen ni head of state ikiwepo na Jamaica na New Zealand sasa sijui kumtukana mama yangu na baba yangu ambao waloshajifia siku nyingi kumekusaidia nini.

Mtu aliyeenda shule hana tabia za kiswahili hata kama ni mzaramo wa mwanarumango. Watu hubishana kwa hoja ndiyo maana tunaitwa wasomi ninyi mliokimbia umande na elimu zenu za darasa la saba mnashindwa ku argue kwa hoja mnakimbilia kutukana.

Hata hivyo hongera kwa kuwa hata na smart phone na bundle la shilingi 200.
Eti umeenda shule? Sema sio mbaya mana hata John Pombe nae kaenda shule tena ni msomi wa kiwango cha PhD japo ni ya maganda ya korosho...
Hata Lipumba nae ni msomi tena wa ngazi uprofesa..
So u can imagine hawa watu wanaojiita "eti wasomi".....

Nimegugo kukupa reference taarira ww sasa huelewi nini apo?

Sasa kama ulikua unajua ni head of state mbona ulishoboka kuniquote kua nimeenda shule kumsindikiza mama ako??

Kuhusu tabia za kiswahili....iko mm mimi nina personalities nyingi yani mm ni poker face...so UNAPOKELEWA UNAVYOKUJA sasa unakuja kizaramo zaramo unataka upokelewe kama Queen of England? We chizi kweli!

Nimekupa facts mimi sinaga time ya kuargue na wapuuzi then nikakutukana kwa kunipotezea muda wangu ambao ni mali..

Kwaiyo kijijini kwenu ulivonunuliwa smartphone ya tekno na shemeji yako wa mjini walikupongeza sio??
If so, basi Aksante!
 
Ivi shule mlienda kufanya nn?
Head of State wa Canada ni Queen of England
Unajifanya unajuaaa eti una elimuuuu. Sasa malkia wa England ndo Nani?

Kuna malkia wa UK(England,Wales, northern Ireland na Scotland) au GB ukiongeza na hizo Australia,Canada,New Zealand etc mpaka huko Falkan Argentina
 
We chizi fresh..
Nimetumia "Queen of England" kuonesha kua nina uelewa kushinda wewe mchimba chumvi wa uko Uvinza...

Ni sawa na kusema "Waziri Mkuu" wa Uingereza wakati in reality ni Waziri Mkuu wa England ambaye ndo anakua Waziri Mkuu wa United Kingdom....sasa mimi nimeenda beyond, to the reality Mf!

Huyo ni Queen of England ambaye ndo Queen wa UK ambaye ndo alikua Queen wa Baba ako na Mama ako wakati ule Tanganyika ipo chini ya British Empire...

Mbona ni logic ya kawaida tu hapo tatizo mnakariri sana...kama yule aliyekariri hadi akawa na PhD ya maganda ya Korosho ambaye hata kuongea sentesi mbili za lugha ya huyu Queen of England anajing'ata!

Yani wewe ni kilaza wa hali ya juu huna tofauti na yule anayesema LIGI KUU ya UINGEREZA badala ya LIGI KUU YA ENGLAND...sema sishangai ndo madhara ya umande
 
Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............

Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Tuna morali ya kutosha kabisa ndio maana tunafukuza mwizi kimya kimya. Kuna watu watakataa kama hii sio Tanzania. Tutagawa kisago ambacho hakuna atakaeamini. Karibuni sana bado siku 11 tu!
 
Good.
Weka hiyo Katiba iliyotamka "majaliwa wao ndio ana mamlaka ya nchi 98%"
Weka icho kifungu ili nione kama tunaweza kuelewana.
Katiba ya Australia kwenye overview yake wameandika haya yafuatayo

The Crown and Responsible Government

As well as being a federation, Australia is a constitutional monarchy. Under this system of government, as the term
suggests, the head of State of a country is a monarch whose functions are regulated by a constitution. The concept of
‘the Crown’ pervades the Constitution. For example, the Queen is part of the Parliament (section 1), and is empowered
to appoint the Governor-General as her representative (section 2). The executive power of the Commonwealth is vested
in the Queen and is exercisable by the Governor-General as her representative (section 61).
Despite the terms of the Constitution, the Queen does not play a day-to-day role in the Commonwealth Government.
Those few functions which the Queen does perform (for example, appointing the Governor-General) are done in
accordance with advice from the Prime Minister
.
The Governor-General performs a large number of functions. However, apart from exceptional circumstances
(discussed below), the Governor-General acts in accordance with the advice of Commonwealth Ministers. The reason
for this is the principle of ‘responsible government’ which is basic to our system of government and which underlies
our Constitution. Under this principle, the Crown (represented by the Governor-General) acts on the advice of its
Ministers
who are in turn members of, and responsible to, the Parliament. It is for this reason that section 64 of the
Constitution requires Ministers to be, or become, members of Parliament

Inajieleza yenyewe kwamba head of state ni cheo tu cha ushereheshaji ila waziri mkuu ndio kila kitu...... Ndio maana hakuna kitu malkia (kupitia gavana anyemuwakilisha) anaweza fanya mpaka waziri mkuu akiafiki sasa kwa maelezo hayo nani ndio kila kitu au kisa anaitwa head of state ceremonial ndio inatufanya tumuona ana mamlaka kuliko waziri mkuu???
 
Hivi mnaolalamika mna akili sawasawa? Wanajeshi kupanda vyeo imekuwa kitu kipya na kudhani ni matayarisho ya tarehe 26 April?

Je, mnajua taratibu za kijeshi!? Afisa wa jeshi ( commissioned officer) lazima apandishwe cheo kulingana na mda aliotumikia pia kulingana na mahitaji ya kiuongozi na utendaji wa jeshi.

Eleweni kabla ya kutoa lawama.
Watumishi wanaosubiri kupandishwa vyeo waliotumikia kwa muda wa kisheria sio hao tu mkuu!
 
Katiba ya Australia kwenye overview yake wameandika haya yafuatayo

The Crown and Responsible Government

As well as being a federation, Australia is a constitutional monarchy. Under this system of government, as the term
suggests, the head of State of a country is a monarch whose functions are regulated by a constitution. The concept of
‘the Crown’ pervades the Constitution. For example, the Queen is part of the Parliament (section 1), and is empowered
to appoint the Governor-General as her representative (section 2). The executive power of the Commonwealth is vested
in the Queen and is exercisable by the Governor-General as her representative (section 61).
Despite the terms of the Constitution, the Queen does not play a day-to-day role in the Commonwealth Government.
Those few functions which the Queen does perform (for example, appointing the Governor-General) are done in
accordance with advice from the Prime Minister
.
The Governor-General performs a large number of functions. However, apart from exceptional circumstances
(discussed below), the Governor-General acts in accordance with the advice of Commonwealth Ministers. The reason
for this is the principle of ‘responsible government’ which is basic to our system of government and which underlies
our Constitution. Under this principle, the Crown (represented by the Governor-General) acts on the advice of its
Ministers
who are in turn members of, and responsible to, the Parliament. It is for this reason that section 64 of the
Constitution requires Ministers to be, or become, members of Parliament

Inajieleza yenyewe kwamba head of state ni cheo tu cha ushereheshaji ila waziri mkuu ndio kila kitu...... Ndio maana hakuna kitu malkia (kupitia gavana anyemuwakilisha) anaweza fanya mpaka waziri mkuu akiafiki sasa kwa maelezo hayo nani ndio kila kitu au kisa anaitwa head of state ceremonial ndio inatufanya tumuona ana mamlaka kuliko waziri mkuu???
Unajua una uelewa mdogo au huelewi kabisa au unapenda kubisha uonekane na ww unajua....

The main issue here is, inter alia, whether the Queen of Englad is the Canadian Head of State or not!

Since umekubali kua ni head of state, the fact that she is ceremonial is IMMATERIAL and IRRELEVANT....

bcuz Every Constitutional Monarch is headed by a ceremonial monarch ambaye ni head of state....unlike Morocco ambapo kuna Absolute Monarch ambapo yule mfalme aliyemdanganya John Pombe atajenga uwanja wa kisasa Dodoma ndo head of state with all powers!

Pia sikusema uniletee katiba yote ya Canada nimesema lete sehemu iliyoandika kua eti ana "98%".......
 
Eti umeenda shule? Sema sio mbaya mana hata John Pombe nae kaenda shule tena ni msomi wa kiwango cha PhD japo ni ya maganda ya korosho...
Hata Lipumba nae ni msomi tena wa ngazi uprofesa..
So u can imagine hawa watu wanaojiita "eti wasomi".....

Nimegugo kukupa reference taarira ww sasa huelewi nini apo?

Sasa kama ulikua unajua ni head of state mbona ulishoboka kuniquote kua nimeenda shule kumsindikiza mama ako??

Kuhusu tabia za kiswahili....iko mm mimi nina personalities nyingi yani mm ni poker face...so UNAPOKELEWA UNAVYOKUJA sasa unakuja kizaramo zaramo unataka upokelewe kama Queen of England? We chizi kweli!

Nimekupa facts mimi sinaga time ya kuargue na wapuuzi then nikakutukana kwa kunipotezea muda wangu ambao ni mali..

Kwaiyo kijijini kwenu ulivonunuliwa smartphone ya tekno na shemeji yako wa mjini walikupongeza sio??
If so, basi Aksante!
We ndio umeandika au mange kimambi kahack account yako?? 😀😀😀😀 nmecheka sana hapo mwishoni
 
Back
Top Bottom