Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mkuu naona tutakesha hapa ila HEAD OF STATE ni ceremonial tu ni sawa na President wa pakistan au ethiopia sasa why HEAD OF STATE uichukulie serious Canada na australia while ni jina tu??

Nliposema 98 per cent nimequote hapo sehem ya katiba inavyosema kwamba DG hawezi kuamua lolote mpka apate USHAURI wa waziri mkuu na mamlaka ambayo DG anaweza kufanya bila kuomba ridhaa ya waziri mkuu ni formality ya kumteua na kumtimua waziri mkuu ambayo ni procedural tu yeye haamui hatma yake

Je doesn't that make 98%
 
The main issue here is, inter alia, whether the Queen of Englad is the Canadian Head of State or not!

Since umekubali kua ni head of state, the fact that she is ceremonial is IMMATERIAL and IRRELEVANT....
..

Na hapa ndio shida mie nilikuwa sibishani nani ni head of state nachokataa toka mwanzo ni nani mwenye mamlaka kuzidi mwenzake

Jibu ni waziri mkuu ila mbona sio amiri jeshi mkuu?? That was my argument kwa mchangiaji mmoja aliyesema NCHI ZOTE ni lazima kiongozi mkuu wa nchi awe Commander in chief.....

Hayo matitle ya head of state sijui queen of england sijui yanaingiaje hapa labda ungenielewesha mamlaka ya malkia yanavyozidi ya waziri mkuu hapo sawa ila sio kuniambia malkia ndio HEAD OF STATE kisa title ilihali nguvu zote zipo kwa waziri
 
Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............

Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Kama hujui uliza tu mkuu sio dhambi alaf huyo unaemuita Bodyguard wala sio Bodyguard
 

Umande ambao ndo mama yako aliupenda. Na nilimshauri tutoe mimba yako nilivyompa akakataa ndo kaniletea mzigo huu.

England=uingereza
Great Britain=Uingereza
United Kingdom=Uingereza

Ila HAKUNA Malkia wa England Ni hakuna my son. Uwe unaelewa
 
Umande ambao ndo mama yako aliupenda. Na nilimshauri tutoe mimba yako nilivyompa akakataa ndo kaniletea mzigo huu.

England=uingereza
Great Britain=Uingereza
United Kingdom=Uingereza

Ila HAKUNA Malkia wa England Ni hakuna my son. Uwe unaelewa
Unaona ulivo pimbi sasa ndo madhara ya kukariri hayo kama vile unatafuta phd ya kubangua maganda ya korosho
 
Sababu ulianza kuhoji kama wenzako walifuata nini shule wakati wewe umedakia katikati bila kufahamu huko nyuma wenzake wa me comment nini. Mtu aliyeenda shule hajibu kwa kukurupuka kama ungechukua muda kufuatilia arguments zetu usingeanza na lugha chafu maana ulichokiansika kilikua tayari kimeshaandikwa. Ninadhani hata hukujua kama Queen ni head of state ukakimbilia Google ili uonekane ni msomi. Nimeandika huko nyuma katika comments zangu kwamba mwaka 1961 Queen Elizabeth alikua head of state wa Tanganyika na Nyerere alikua Waziri mkuu lakini hukuiona hiyo pupa yako ya kuonyesha kua unajua ilikumbiza Google na kudharau wenzako. Ulipodharauiliwa wewe umekuja na matusi kama wale wanawake wa vilabu vya pombe za kienyeji. Inaonekana wewe ni mmoja wa watoto kama hawa makonda anatafuta baba zao maana mlipatikana kqa mchepuko na hili sikulaumu maana umekosa malezi kama tuliyopewa sisi wenzako tuliolelewa na wazazi sababu hatukulia mitaani.
 
K
 
Hivi CDF huwa anateuliwa kutoka kwenye rank ipi ya jeshi?
Kwa kawaida hata brigadier anaweza kuwa CDF, lakini kabla ya uteuzi wake ni lazima apandishwe cheo kwanza kuwa general{four* general} ndipo awe CDF. Kumbuka brigadier ni general mwenye nyota moja {single* general}
 
Mpambe wa shein rais wa SMZ alishapandishwa cheo sasa hivi ni full colonel
 
..Mwendo wa kupandishana. Kuna wakati Raisi mmoja alipandisha Cheo Mwandishi wake wa Hutba kuwa Balozi kabla ya kuondoka kwa mandaraka..
Unajua wakati mwingine ni kama shukrani na hata ungekuwa wewe ungefanya.
Fikiria mtu kama ADC kakutumikia miaka mathalan 8 na unaona muda wako ama wake unakaribia kuisha(kustaafu)

ukiwa muungwana unaona huyu bwana kanifanyia kazi vizuri tena kwa weledi wale hawanaga sijui emergence sijui ya kuzika,sijui harusi nk ni mara chache hupewa muda wote wapo kazini kiujumla ile kazi ni ngumu sana.

Kutokana na mazingira hayo unaamua kumpamdisha cheo kama shukrani kwa kazi ngumu aloifanya ni jambo la kamwaida tu tena la kiungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…