Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jukwaa ukipongeza utaambiwa upo upande wa Mkulu na akionyesha mapungufu ama kuhoji ili upate ufafanuzi utaitwa nyumbuHapa hatubishani tunaelekezana na kuweka kumbu kumbu sawa kuna uwezekano ni Mimi niliyesahau
Hata mimiWakikujibu naomba unitag please
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi, Jenerali Mabeyo amefanya teuzi kadhaa ndani ya Jeshi la wananchi. Kanali M.E. Kaguti ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kigoma amepandishwa cheo na mkuu wa majeshi, Jenerali Mabeyo amemuomba Rais amtumie kwa kazi nyingine.
Mabeyo amesema amefanya teuzi 28 na kwa ujumla wao na amemuomba Rais awatumie ili aimarishe safu ya uongozi katika Jeshi na anaamini kwa viongozi waliopo safu ya uongozi itaimarika.
Sambamba nao hao, Mabeyo amemuomba Rais aridhie kupandishwa cheo Luteni kanali D.P.M Mulunga kuwa Kanali na kwa cheo hicho Rais ameridhia awe mpambe wa Rais kuanzia leo.
Meja Generali PP Masau amepandishwa kuwa Ruteni generali atakuwa Mkuuwa Mafunzo Chuo cha Monduli
HS Kamunde amepandishwa kuwa Meja Generali na atapangiwa kazi baadae.
Pia Makanali 28 wamepandishwa vyeo kuwa Mabrigedia Generali ambao ni;
J.J Maseba, Madugu,
A. S Mwami aliyekuwa Mwambata India,
R. K Kapinga,
C.D Katenga,
Z.S Kiwenge,
M.A Mugambo,
A.A Alfonsi, alikuwa Mwambata Zimbabwe
A.P MUTA, alikuwa Mwambata Marekani
A. Chakila,
M.G Mhagama,
V.M Kisiri,
C.E Msola,
S.M Mzee,
C.J Njiege,
A. Muhona,
R.C Mumbi
SJ Mkande,
Sibuti,
M.M Mwanga,
I.S Ismail.
Mwingine ni M.N Mkelemi ambae kwa sasa ni mpambe wa Rais na kwa cheo hicho Jenerali Mabeyo amemuomba Rais ampangie kazi nyingine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Aprili, 2018 amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika vyeo mbalimbali.
Taarifa iliyosomwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa Mhe. Rais Magufuli amempandisha cheo Meja Jenarali Peter Paul Massao kuwa Luteni Jenerali.
Meja Jenerali Massao ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa Wanafunzi wa Jeshi Monduli (TMA) na kwa uteuzi huo, sasa JWTZ itakuwa na Luteni Jenerali wawili.
Mhe. Rais Magufuli amempandisha cheo Brigedia Jenerali Henry Kamunde kuwa Meja Jenerali.
Aidha, Mhe. Rais Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 27 wa JWTZ kutoka cheo cha Kanali na kuwa Brigedia Jenerali na Afisa 1 kutoka Luteni Kanali na kuwa Kanali.
Waliopandishwa vyeo hivyo ni D.D.M Mullugu, J.J Mwaseba, A.S Mwamy, R.K Kapinda, C.D Katenga, Z.S Kiwenge, M.A Mgambo, A.M Alphonce, A.P Mutta, A.V Chakila, M.G Mhagama, V.M Kisiri, C.E Msolla na S.M Mzee.
Wengine ni C.J Ndiege, I.M Mhona, R.C Ng’umbi, S.J Mnkande, A.C Sibuti, M.M Mumanga, I.S Ismail, M.N Mkeremy, G.S Mhidze, M.A Machanga, S.B Gwaya, P.K Simuli na M.E Gaguti.
Halikadhalika Mhe. Rais Magufuli amempandisha cheo Luteni Kanali Bernard Masala Mlunga kuwa Kanali na ameteuliwa kuwa Mpambe wa Rais (Aide de Camp – ADC)
Kanali Mlunga ameteuliwa kuwa Mpambe wa Rais akichukua nafasi ya Kanali Mbaraka Naziad Mkeremy ambaye amepandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
12 Aprili, 2018
Kwani kanali sio afisa wa juu?Kila cheo jeshini kinakua na majukumu yake mfano afisa mteule (Non-commisioned officer NCO) ndo hua anakua RSM (kiongozi wa nidhamu jeshini-kwa maafisa wadogo).
ikitokea akapewa kamisheni na kua afisa hawezi kuendelea na cheo hicho.
hujo Mkelemi hawezi kuendelea kuwa bodyguard kwa sababu amekua afisa wa juu. afisa wa juu hawezi kuwa body guard.
Hii sentensi kwa kweli inakera sana!!Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Hahaaaa!!!ni kweli mkuuHili jukwaa ukipongeza utaambiwa upo upande wa Mkulu na akionyesha mapungufu ama kuhoji ili upate ufafanuzi utaitwa nyumbu
Mkuu mkuu wa wilaya simu cheo cha kisiasa ni cheo cha kiserikali.Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?
Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.
Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
Pia ni mjumbe wa kamati ya siasa kwa mujibu wa katiba ya Chama..Mkuu mkuu wa wilaya simu cheo cha kisiasa ni cheo cha kiserikali.
Mkuu wa willaya anamuakulisha rais katika wilaya husika.HAMUWAKILISHI MWENYEKITI WA CHAMA BALI RAIS.
Haiwezekani kikawaida ni cheo cha kanali tu, ukipanda unang'oka yeye mkeremi sio wa kwanza kuwa hivyo.Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Tanzania haiwez kuendelea chini ya ccm,Magufuli miaka 5 inaisha roho yake ikitamani kuua wapinzani wote kila akiamka.Yangekuwa hodari kwa kudeliver na kuleta maendeleo jinsi yalivyo kwa kuteuateua tungekuwa mbali sana.
Umeelezea vizuri but kuna sehemu umepwaya, kwa majukumu anayokuwa nayo brigedia kwanza ye mwenyewe anakuwa na ADC wake, pili umesemea viongozi wa ngazi za juu hata meja ni kiongozi wa ngazi za juu. Ungesema hivi ningekuelewa zaidi "Generali hawezi kuwa mpambe wa mtu kwani ye mwenyewe kutokana na majukumu yake anakuwa na mpambe"Kila cheo jeshini kinakua na majukumu yake mfano afisa mteule (Non-commisioned officer NCO) ndo hua anakua RSM (kiongozi wa nidhamu jeshini-kwa maafisa wadogo).
ikitokea akapewa kamisheni na kua afisa hawezi kuendelea na cheo hicho.
hujo Mkelemi hawezi kuendelea kuwa bodyguard kwa sababu amekua afisa wa juu. afisa wa juu hawezi kuwa body guard.
Pinga pinga mna kazi sanaCDF naye anafanyia teuzi zake IKULU? TBC walikuwa live kutoka ikulu
Hakukuwaga na live coverage ya kubadilisha wapambe enzi za Handsome, huyu mtu kazidi ushamba na ulimbukeni. Too much aisee.Haiwezekani kikawaida ni cheo cha kanali tu, ukipanda unang'oka yeye mkeremi sio wa kwanza kuwa hivyo.
HahahahaPinga pinga mna kazi sana
CDF akishafanya uteuzi lazima apeleke kwa C in C ikulu
Maafisa wa ngazi za juu wanaanzia meja kama kama sikosei ameshindwa kutofautisha maafisa wa ngazi za juu na majeneraliKwani kanali sio afisa wa juu?
Unataka kumfananisha na koplo nn?
Acha Zaarau