Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Congratulations
 
Kwani kanali sio afisa wa juu?
Unataka kumfananisha na koplo nn?
Acha Zaarau
 
Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Hii sentensi kwa kweli inakera sana!!
Kwani ukisema tu nimepandisha vyeo watu moja, mbili, tatu na Rais ameridhia kuna tatizo?
Unyenyekevu mwingine unakuwa kama umazwazwa!!
 
Mkuu mkuu wa wilaya simu cheo cha kisiasa ni cheo cha kiserikali.
Mkuu wa willaya anamuakulisha rais katika wilaya husika.HAMUWAKILISHI MWENYEKITI WA CHAMA BALI RAIS.
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Haiwezekani kikawaida ni cheo cha kanali tu, ukipanda unang'oka yeye mkeremi sio wa kwanza kuwa hivyo.
 
Yangekuwa hodari kwa kudeliver na kuleta maendeleo jinsi yalivyo kwa kuteuateua tungekuwa mbali sana.
Tanzania haiwez kuendelea chini ya ccm,Magufuli miaka 5 inaisha roho yake ikitamani kuua wapinzani wote kila akiamka.
wakati ka nchi kama Denmark kanaishi kwa maziwa tu na uchumi umetukuka.
 
Umeelezea vizuri but kuna sehemu umepwaya, kwa majukumu anayokuwa nayo brigedia kwanza ye mwenyewe anakuwa na ADC wake, pili umesemea viongozi wa ngazi za juu hata meja ni kiongozi wa ngazi za juu. Ungesema hivi ningekuelewa zaidi "Generali hawezi kuwa mpambe wa mtu kwani ye mwenyewe kutokana na majukumu yake anakuwa na mpambe"
 
Haiwezekani kikawaida ni cheo cha kanali tu, ukipanda unang'oka yeye mkeremi sio wa kwanza kuwa hivyo.
Hakukuwaga na live coverage ya kubadilisha wapambe enzi za Handsome, huyu mtu kazidi ushamba na ulimbukeni. Too much aisee.
 
..promo za kutafta kupendwa jeshini hizi..ili kulindwa nao baadae kikinuka....maana siku hizi wanaoangaliwa ni jeahi Na Polisi....typical dictatorial decision....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…