Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Hapana mkuu simfananishi na koplo ila kwa uelewa wangu ni kwamba kuna junior COs na senior Officers, huyo bwana katoka junior officer. Kwa hiyo Codes za senior officer zinamzuia kuwa bodyguard.Kwani kanali sio afisa wa juu?
Unataka kumfananisha na koplo nn?
Acha Zaarau
Yule ameitwa mpambe kwa sababu maalum na ndio maana hakuitwa body guard.Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............
Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Hata mimi hili limenishtua sana, kwamba au tunatawaliwa kijeshi au jeshi limekuwa kada wa chama cha mapinduzi!Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?
Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.
Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
ok thanx mkuuMwambata (Attache') ni afisa mwenye fani mahususi (sio afisa wa wizara ya mambo ya nje) anaefanya kazi katika ofisi za ubalozi wa nchi yake.
Kwa mfano. Mwambata wa jeshi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa nk.
Nashukuru mkuu! Nmetumia bodyguard ili iwe rahisii kueleweka.Kimsingi yule anayevaa nguo za kijeshi anakuwa na rais muda wote sio bodyguard kiswahili ni mpambe wa Rais anakuwa pale kwa sababu rais ni Amiri jeshi Mkuu wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama ,walinzi wa rais ni kikosi maalum cha ulinzi kwa sisi Tanzania nafikiri kina ukubwa wa watu mpka 36 wanaopena majukumu ya kumlinda rais muda wote
Kauli ya cdf anasema kwa cheo hicho hawezi tena kufanya jukumu hili ina mana kwamba kila cheo kina majukumu yake na ukomo wa majukumu fulani, brigedia ana majukumu mengi zaidi ni kupoteza rasilimali watu kumpa jukumu la kuwa mpambe wa Raisi,Tutashuhudia mengi wakati tunakaribia 26042018
which is looming..............
Hata Body guard naye haaminiki hadi anakuwa replaced??
District Commissioner ni political post? na commissioned officer wa ngazi ya kanali anashindwa vipi kushika post ya DC? kumbuka kuwa huyu amefuzu toka National leadership academy.Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?
Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.
Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
Kumbebea makabrasha raisi ,kumshikia mwamvuli pindi mvua ikinyesha,kwenda kuchukua karatasi na kumpa rais atie saini na kama kuna mzigo anabeba ..msaidizi wa raisihivi adc kazi yake nini hasa
Uoga wa serikali kivipi kueni waelewa wa mambo senior officers wa TPDF wote lazima wamepitia National leadership academy hivyo kupangiwa majukumu ya kiuongozi ktk jamii ni jambo la kawaida kabisa.Hahahaaaa!!!Mkuu wee acha tu huu ni uoga wa serikali
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! MsikaririKwani nani ni head of state wa Canada? Kabla hujamkosoa mwenzako na wewe fanya uchunguzi kwanza
Head of state wa uk new Zealand canada ni Queen Elizabeth Ii na siyo Prime Minister wa hizo nchi. Hao ni head wa shughuli za serikali.Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
Kuna kingine unachokijua zaidi ya ulichoandika??Ulisoma vizuri niliquote nn??Uoga wa serikali kivipi kueni waelewa wa mambo senior officers wa TPDF wote lazima wamepitia National leadership academy hivyo kupangiwa majukumu ya kiuongozi ktk jamii ni jambo la kawaida kabisa.
Hujui kitu wewe unapiga kelele hapa JF na kukashifu watu wakati hujui kitu. Governor general anamuwakilisha Queen. Mwaka 1961 Nyerere alikua Waziri Mkuu Turnbull alikua governor Queen Elizabeth alikua head of State. Hili nakupatia somo la siasa pamoja na historia kusudi usiaibike hata jaribu kutumia mitandao ikusaidie kama google. Siyo kukariri governor general tuWaziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri