randez vous
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 890
- 621
Safi sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaewapandisha cheo ni raisi. Mabeyo hapo kasoma taarifa kwaniaba ya raisi na si yeye aliewapandisha.Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Kila cheo jeshini kinakua na majukumu yake mfano afisa mteule (Non-commisioned officer NCO) ndo hua anakua RSM (kiongozi wa nidhamu jeshini-kwa maafisa wadogo).Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Hata hivyo afande alikua ni mtu mzima tayari(umri) ilikua ni lazima apangiwe kazi nyingine apumzike piaKanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Kupandisha vyeo nako shida?dah awamu ya vurugu mechi "ZINDUA" , "TEUA","TUMBUA" tutafika 2025 tumechoka kweli kweli!
Brigadier general abaki kuwa mpambe wa rais? Hujui mambo ya jeshi uliza kabla hujalalamika!Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama Mheshimiwa rais John Pombe Magufuli.Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
MkuuNa wewe umepandishwa cheo???
Hii ndo hasara ya kulink jeshi na siasaAnaewapandisha cheo ni raisi. Mabeyo hapo kasoma taarifa kwaniaba ya raisi na si yeye aliewapandisha.
Yeye ameomba hao wapandishwe ili aweze kuwatumia kwenye safu yake ya uongozi
Kumbe hata wapinzani wanaruhusiwa kuwapo jeshini?Alistaafu akiwa brigedia na alikuwa ADC
Mnajema nyie!dah awamu ya vurugu mechi "ZINDUA" , "TEUA","TUMBUA" tutafika 2025 tumechoka kweli kweli!
Hiyo ni kuonyesha utiifu kwa Rais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu.Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Kwani yeye kateuliwa na Nani?Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Wewe ulitakaje labda ?Hii ndo hasara ya kulink jeshi na siasa
Wanyama wa serengeti!Kupandisha vyeo nako shida?
Manyumbu bwana
Utapandishwa hata mwakaniMkuu
Mimi Sijapandishwa