SoC02 Mabadiliko katika mfumo wa Elimu

SoC02 Mabadiliko katika mfumo wa Elimu

Stories of Change - 2022 Competition

Legend46

Member
Joined
Aug 12, 2022
Posts
7
Reaction score
1
Mfumo wa elimu haumuandai mhitimu kutimiza ndoto kwa kiasi kikubwa, hii ni kutokana na kuwepo kwa mzunguko mkubwa wa kusoma kama vile.

Wakati wa Elimu ya msingi na sekondari: Kipindi hichi kinaweza kumfikisha kijana miaka 15 hadi 20. Huku ni kumchelewesha kijana kufikia ndoto zake mapema. Kwa wanafunzi ambao maisha ni duni wanakutana na kikwazo cha uajibikaji kwa familia zao wakati wapo au kutaka kuenda chuo.

Nashauri mzunguko huu upunguzwe ili vijana wasome na kuhitimu kabla ya kufika muda wa majukumu katika kusaidia familia zao.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom