Mabadiliko yaliyofanyika kwenye mataa ya kuongoza magari katika Barabara ya Bibi Titi yameleta mkanganyiko mkubwa kwa madereva. Aidha, inaonekana askari wa usalama barabarani wamegeuza eneo hilo kuwa sehemu ya kukusanya mapato kupitia utozaji wa faini.
Tunaomba askari wa usalama barabarani watoe elimu kwa wananchi kwa angalau mwezi mmoja kuhusu mabadiliko hayo, kwani madereva wengi walikuwa tayari wamezoea utaratibu wa awali wa matumizi ya barabara hiyo. Si jambo la haki kufanya mabadiliko ya ghafla na kuanza kuwatoza madereva faini mara moja bila kuwapa muda wa kuzoea mfumo mpya.