Mabadiliko MMU

Mabadiliko MMU

Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi
nazimia hii post:tape:
 
Basi tu najuta maana nimetoka kukufagilia mahali na Fynest kumbe mwenzangu hata jina langu hujui!
hivi haukuona post ya saaly anataka nimuanzishie sredi? halaf DA anaweka kauzibe.
 
Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi
kweli.
 
Ha ha ha ha ha namiss comments zake ha ha ha BAK acha visa.......................

Wapi DA? LOL! namiss kilemba chake jamani mkimuona mwambieni nanihii anammiss sana kule MMU! hujaanzishiwa sredi kama hii DA? Hahahahahahaha LOL!
 
Hahahahahah sema kweli DA ni kilemba tu au kuna vingine zaidi wanavyovipenda!? LOL!
Huoni Dena alivyo natural mtanzania sio hawa wanaochukua picha za mablack american na kuweka.

Dena unanidai mia tano sijakuzimikia/kudondokea lakini napenda unavyotetea lugha ya taifa kutumika MMU (POLISI WA LUGHA) lol!
 
Nakuzimia DA....soma PM yako kule na unijibu.........usipojibu nakuanzishia thread.
 
Daahh
haya sis
Umesikika loud and clear.
mmmmmmhhhhhh siku ya kuzaliwa na siku ya. ..
 
Mhhhh DA,

Hutaki tunaokuzimia au kumzimia Lizzy n.k tuseme?

Umesikika mdogo wangu. Laiti tungekuwa na masikio!!

Mzee DC
 
Mzee DC watu watoe madukuduku yao PieM ndo inakua na maana!Kuweka hapa jamvini ni kutaka sifa tu!
 
Mbona mnakuwa na roho mbaya hivyo Lizzy, publicity inaleta satisfaction lakini au huamini hivyo?

Mzee DC.
 
Back
Top Bottom