Mabadiliko MMU

Mabadiliko MMU

Hehehehe alafu kesho anasifia wengine 10?Where is the fun in that?

Kila kitu kina sura nzuri na mbaya pia.. Nisingependa watu wafungwe midomo ila waachwe wapime uzito wa yale wanayotaka kuyasema na wakati huo wasijifikirie wao wenyewe tu bali na wenzao waliowazunguka.

Binafsi sina hakika kama watu wanawafikiria wenzao kabla ya kutoa mada zao. Hilo ndilo tatizo kubwa ambalo tunahitaji kulisemea over and over ili tuwe responsible and accountable kwa yale tunayoyaleta hapa jamvini!!
 
Mamaa dena naona umeamua kuvua kilemba kabisa, umenena vyema mwaya
 
Wapi DA? LOL! namiss kilemba chake jamani mkimuona mwambieni nanihii anammiss sana kule MMU! hujaanzishiwa sredi kama hii DA? Hahahahahahaha LOL!

Hakuna kumzimia mtu humu bana wewe mbona huelewi nitakugongea GROAN sasa hivi
 
Huoni Dena alivyo natural mtanzania sio hawa wanaochukua picha za mablack american na kuweka.

Dena unanidai mia tano sijakuzimikia/kudondokea lakini napenda unavyotetea lugha ya taifa kutumika MMU (POLISI WA LUGHA) lol!

Ha ha ha ha ulichelewa wapi wewe bana................
 
Mhhhh DA,

Hutaki tunaokuzimia au kumzimia Lizzy n.k tuseme?

Umesikika mdogo wangu. Laiti tungekuwa na masikio!!

Mzee DC

Mseme kwa PM kila mtu akiweka hapa mambo hayo itakuwaje???
 
Eti sis

MAHUSIANO
MAPENZI
URAFIKI
Kuna ubaya gani kamahiyo rafiki niliempata
hapa JF nikimrushia ka thread nakumsifia kidogo
kwa kuzuri alicho fanya na wengine wanaompenda wajumuike..
matatizo yanaletwa kila siku kwanini tusifurahishane kidoncho tu..

Nway ukimwona TF
muulize kwa nini nimekununia
na ntafanya nini na wewe baaday e
I still love u tho..

peace
 
Kila kitu kina sura nzuri na mbaya pia.. Nisingependa watu wafungwe midomo ila waachwe wapime uzito wa yale wanayotaka kuyasema na wakati huo wasijifikirie wao wenyewe tu bali na wenzao waliowazunguka.

Binafsi sina hakika kama watu wanawafikiria wenzao kabla ya kutoa mada zao. Hilo ndilo tatizo kubwa ambalo tunahitaji kulisemea over and over ili tuwe responsible and accountable kwa yale tunayoyaleta hapa jamvini!!

Hii ningekugongea GROAN lakini nakuheshimu kwa leo
 
Eti sis

MAHUSIANO
MAPENZI
URAFIKI
Kuna ubaya gani kamahiyo rafiki niliempata
hapa JF nikimrushia ka thread nakumsifia kidogo
kwa kuzuri alicho fanya na wengine wanaompenda wajumuike..
matatizo yanaletwa kila siku kwanini tusifurahishane kidoncho tu..

Nway ukimwona TF
muulize kwa nini nimekununia
na ntafanya nini na wewe baaday e
I still love u tho..

peace

Ha ha ha ha usijali we rusha tu lakini wako unayemzimia tunamjua ni TF
 
Ha ha ha ha usijali we rusha tu lakini wakounayemzimiba tunajua ni TF

Hahahahahahahah lol
TF mwenye kaniambia
kuna mtu ananitafuta kule kwenye
chit chat ..ngoja nikamsikilize kilio chake

Halafu sis
umuache ,tuheshimiane aisee
usimsute anza kumsamehe
hahahah lol
haya naenda..
still love u lol
 
Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi
Watu wengine tunapenda tukimzimia mtu watu wengine wajue, Kwa mfano mimi nimekuzimia sana DA nitaku-pm.
 
Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi
Mimi ninakataa unaweka self defence Machenism??Bahati nzuri au mbaya sijawahi kumuanzishia mtu thread ila kuchangia nimewahi!!Ila mtu akiwa ameona mtu fulani ndani ya JF Ndiye Lol Model wake!! tatizo likowapi??Humu kila mtu anamtu anaye mzimia, labda kuchati naye, kumtamka kila wakati, kutaniana, vitu kama hivyo utasema nimbaya??japo na wewe nimtazamo wako sipingi mawazo yako ila na mimi nimeweka yakwangu!
 
Napenda kutangaza nia kwa kupitia hapa.
 
KK sijui kama umenisoma vizuri nimesema samahani kama kuna ninayemkwaza kwa hili. Pole sana kwa hilo ni mtazamo wangu tu
 
Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi
Dena
Kama umeninyang'anya maneno mdomoni vile.Inaudhi sana kuona MMU limetekwa nyara na watu wachache wanaomaindiana.Hii inaboa kichizi na kufanya watu tulipotezee hili jukwaa munimu.Kama Mbu vipi mbona hau moderate bana? Ina maana huna meno?
Mods fanyeni la akili kabla hamjapoteza wanachama zaidi JF

AJABU: Thread hii hii imevunja rekodi ya kurudia matapishi yake yenyewe! Kinacholalamikiwa ndicho kimevuma kuliko!
 
Back
Top Bottom