Saidi malolo
Member
- May 2, 2024
- 17
- 12
Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na walimu wenye uelewa duni. Hivyo kama nchi katika miaka kumi na tano mpka ishilini ijayo. Fufanye mabadiliko makubwa hili hili elimu yetu iendane na hali halisi ya nchi yetu tufanye vitu vifuatavyo kama vile
- MASOMO YANAYOENDANA NA ASILI YA NCHI YETU
Kwa mfano . Masomo ya kilimo,uchimbaji madini,na uvuvi . Kwa sababu fani hizi watu wanajifunza wakishafika ngazi ya juu ya elimu kule chini watoto wengi hawajifunzi haya masomo na tunajua na sio watu wote wanafika elimu ya juu basi ni muhimu tukawa tunajifunza kilimo toka tukiwa watoto yaani mtoto akisoma kilimo akirudi nyumbani hanamuona mama au baba analima kwanini asielewa na sio kuendelea,kuisoma (agriculture au fishing in russia) kwanini tusiwe tunasoma (fishing in mwanza ) au agriculture in mbeya na apa mimi nashauri haya masomo ndio yawe ya lazima mwanafunzi kusoma na sio (GENERAL STUDIES) Ambalo adi leo linatufunza utandawazi
- TUANZISHE SOMO LA UTAMADUNI
Utamaduni wa tanzania liwe somo kabisa na sio kusoma utamaduni wa waingereza kila siku
Soma hili litakuwa linafundisha utamaduni halisi wa kitanzia
- TUFABADILI MFUMO WA ELIMU USIWE (PYRAMID SHAPE)
Mfumo wa elimu wa nchi yetu sisi lakini upo kwa mtindo wa ngazi hizi ndio sio mbaya lakini tunawakika wanaofer na wanaoshindwa kupanda ngazi wote hawana akili jibu apana hivyo basi katika miaaka 5 mpaka 25 ijayo sisi kma nchi tusitumie mitihani ya mwisho kma kigezo cha kufauru kwa mwa afunz tufanye ata kwa vitendo jinsi mwanafunz ameelewa nini kuhusu somo husika
- MFUMO WA UFUNDISHAJI UBADILISHWE
mfumo wa ufundishwaji wa elimu yetu nao aupo rafiki kwa sababu mfumo unamtaka mwanafunzi kukariri na si kuelewa kivipi mfano mfundi elimu yetu ta vitendo wenyewe wanaita (practical) toka elimu imeanza practical ni zile zile hazibadili yaani mwanafunzi anakalili kwend kupima umeme au kujaribu chakula na sio mwanafunz Atumie akili na kitu alicho jifunza kuzalisha kitu kimya sasa apa atuzalishi wataarabu bora kbsa . Hivyo ni muhimu tubadili mfumo aa ufundishaji kwa kumtaka .mwanafunzi atumie alichojifunza kutengezea kitu chochote na apo ndio tupime uelewa wa mwanafunzi
- TUCHAGUE LUGHA MOJA YA KUFUNDISHIA KWA ELIMU ZOTE
Kwa shule nyingi za msingi watoto wanatumia kiswahili kusomea kila somo kasoro somo la
kingereza . Hivyo mm naoma tukiwa tunaelekea mbere tuchagua lugha moja ya kufundishia kwa mfano kiswahili tutumie kiswahili mwanzo mwisho na kingereza kifundishwe kama soma hii itatusaidia kupata wataarabu bora katika sekta mbalimbali na kukuza lugha yetu
- TUKATAE KUANDALIWA VITABU NA MATAIFA MENGINE
Vitabu vingi asa kwa sayansi vimeandaliwa kutoka nje ya nchi sasa tuseme hao watu wanaijua tanzania kuliko sisi wenyewe jibu jepesi hapana hivyo katka miaka ijayo lazima tupinge iki kitu tuandae vitabu sisi wenyewe kwa sababu sisi wenyewe ndio tunaiju hii nchi na kwa sababu hivyo vitabu vyao ndio vinasababisha adi leo tunasoma binadamu wa kwanza ni sokwe.
- TUKATAE KUSOMA HISTORIA ZA WATU BALI TUSOME YETU
adi leo hii kwenye somo la historia tunasoma kuhusu uingereza . Ufaransa na nchi zingine za magharibi sasa ss hiyo historia aina umuhimu katika miaka kazaa ijayo tuanzishe somo la historia kuhusu sisi wenyewe tanzania tuna mengi ya kufundisha kuhusu tanzani na
MWISHO: Tukibadili huu mfumo wa elimu ndio kitakuwa chanzo cha mabadiliko ya sekta nyingi nchini na ata tatizo la ajira litapungua kwa sababu ilikuwa itakuwa inamfunza mtu kujitegea katika sekta nyingi

Upvote
1