BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kule Sudan, Omari Bashir aling'olewa na maandamani ambayo hayakuwa na hayakuanzishwa na vyama vya upinzani.
Wale Gen Z sio wana siasa, ila muziki wao sio wa kitoto.
Sasa Bongo tumekaa nyuma ya Keybord tunangoja wapinzani watutengenezee maisha au watuletee mageuzi, hao wapinzani wakianza kutimukia CCM tunaanza kulalamika.
Sudan wangetegemea Vyama vya Upinzani hadi leo Omari Al bashir angekuwa Madarakani bado.
Kenya na Nguvu za Raila Odinga hajawahi fanikisha movement kama ile ya juzi kati. Ni bahati mbaya Bongo tuko nyuma ya Keybord zetu tunaangojea upinzani tuletee mageuzi.
Tutangoja sana. Vijana wa Kenya sio wajinga.