Tetesi: Mabadiliko TBL

Unaona sasa, hapo juu umepiga hesabu kwa 1500 wakati unauza 1600. Kubwa nayo unauza 2500, kuna wanaouza chini ya hio. Wewe ni wholeseller au retailer?
Mkuu nimepiga bei ambayo ni elekezi kwa TBL.. Hata ukipiga kwa 1600/- au hata hiyo 1,800/- unayosema bado ni rahisi kulinganisha na kubwa..
 
Umaarufu wa Balimi umepaa. Kupunguza ujazo ni kilio kwa wanywaji ila kwa TBL watakuwa pale pale, mi sioni hii inawaathiri kivipi zaidi ya walivyoathiriwa tayari na upunguaji wa unywaji kutokana na hali ya uchumi.
 
Mkuu nimepiga bei ambayo ni elekezi kwa TBL.. Hata ukipiga kwa 1600/- au hata hiyo 1,800/- unayosema bado ni rahisi kulinganisha na kubwa..
Bei elekezi ya kubwa ni tzs ngapi?
 
TBL inafuta watu kazi na serikali inafuta kazi watu 9000!!!!!

Mtaani kutakuwaje??!!
 
Ukitoa Lite ambayo tunapaswa tuuze 2300/- zingine zote ni 2500/-
Basi kijiweni kwangu ndogo wanauza 2000, kubwa zote local 2500. Ndio nikawa nawashangaa wanywaji kwanini wanakunywa ndogo.
 
Basi kijiweni kwangu ndogo wanauza 2000, kubwa zote local 2500. Ndio nikawa nawashangaa wanywaji kwanini wanakunywa ndogo.
Kwa ujazo ndogo ni cheaper na wanadai zinapanda haraka kichwani kuliko kubwa.. Ndio maana wanaziita mwendokasi
 
Waanze kufunga kwenye vipakti vya kiroba na waviuze kwa bei ya chupa kubwa!! Shwain eti uchumi unakua kwa kasi,, nyoko!! Sasa taifa linaloyegemea kodi za pombe itakuwaje? In short tumeweka madarakani mazombie!!
 
walianza kuwa Force muache viroba wameweza sasa ni zamu kuwalazimisha muache Pombe sasa...sigara itafuatia...cc wa mmea hatuwezi guswa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupanda haraka kichwani imani tu. Au alcohol % zikko tofauti?
Content ni zile zile tu.. Ni kama wanavyosema viroba ukivikata ukajaza kwenye kisichana ukavimaliza unalewa zaidi ya kisichana chenyewe.. All in all ni imani tu
 
Ila kiukweli hali ni mbaya sana lkn kwann rais anaua sekta binafsi kwa kasi sana?unaroho gani ww baba ila jua machozi ya watu hayaendi bure na mda ni jibu sahihi
 
Yaani sijui kwa nini tangia nimeacha kwenda baa naona TBL kila siku matamko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…