Tetesi: Mabadiliko TBL

Tetesi: Mabadiliko TBL

Wawaulize Coca-Cola kanda ya ziwa walichofanywa na PepsiCo walipoleta vichupa vidogo Kwa bei ya sh 500.
 
Sekta binafs kwa heri
Sera za awamu ya tano sio rafk na private sector!
 
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kubwa kuliko nchi yoyote ile ya Africa, lakini wanasahau kauli zao za kukua kwa uchumi na reality ya kitaa haviendani kabisa ni kama usiku na mchana.
hapa kuna shida sana katika tafsiri ya kukua kwa uchumi, mi nafikiri kukua kwa uchumi lazima kuendane na kuimarika kwa hali ya maisha ya watu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu huwezi kujipiga kifua uchumi wa Tanzania unakua kwa kati ya 5% to 7% kwa miaka zaidi ya 20 sasa lakini hali halisi haiko hivyo wengi wa Watanzania wanaona maisha yanazidi kuwa magumu na hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

hapa kuna shida sana katika tafsiri ya kukua kwa uchumi, mi nafikiri kukua kwa uchumi lazima kuendane na kuimarika kwa hali ya maisha ya watu.
 
Konyagi kisichana imekuwa adimu kila kona huku bapa na jibapa zikiwa hazina dili
Kumbe na ww ni mwanachama wa ile kitu mikono juu. Naona zile mambo zako za kuwatega wanaopaa night hazisaidii bora upige ile kitu ulale nusu kaputi wakija wapite tuu
 
Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz.
Adiiiioooos amigoooo.
Nimepwnda tu hiyo.. "Adioooooooos amigooo".
Maulid baraka wa kitenge, radio one kipind hiko. Kipind cha michezo
 
Hii ni habari ya kusikitisha aisee, vichupa vidogo tutalewa sangapi sasa? wanataka kutuharibia ndoa zetu hawa mabo ya kukesha baa ya nini jamani
Wataongeza content ya alcohol
 
what we need ni pombeeee nothing else (CHAWABITA)CHAMA CHA WANYWA BIA TANZANIA oyeeeee
 
Back
Top Bottom