Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

Wazo Kuu

Senior Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
114
Reaction score
295
WAMACHINGA.jpeg

PIA, SOMA:
- Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
 
Mi siku nilipoona kiongozi wa watu wanaoishi na VVU hafu yeye hana, na mwingine katibu wa nini sijui ya watu wenye albinism hafu yeye hana u-albinism nilichoka.

Utakuta hadi kwenye vyama vya wanawake kuna viongozi wanaume.
Kiroja zaidi NGO kuwa kwenye jengo moja na ofisi ya Waziri Mkuu!
 
Mi siku nilipoona kiongozi wa watu wanaoishi na VVU hafu yeye hana, na mwingine katibu wa nini sijui ya watu wenye albinism hafu yeye hana u-albinism nilichoka.

Utakuta hadi kwenye vyama vya wanawake kuna viongozi wanaume.
Na haya yanatokea Tanzania peke yake.
 
Washukuriwe wadau wote wanao ratibu , Wamachinga Ni bomu lililotengenezwa kimasihara, tahadhari zote muhimu lazima.
 
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi then ni kada wa chama....Kuna nn tena hapo bongo bhana inafurahisha sana
 
Mi siku nilipoona kiongozi wa watu wanaoishi na VVU hafu yeye hana, na mwingine katibu wa nini sijui ya watu wenye albinism hafu yeye hana u-albinism nilichoka.

Utakuta hadi kwenye vyama vya wanawake kuna viongozi wanaume.
Kwenye msafara wa mamba kenge hakosagi...
 
Back
Top Bottom