Mabadiliko ya Bajeti ya 2025 inasamehe makampuni Makubwa na Mabenki zaidi ya shilingi Bilioni 200 kwa Mwaka

mkalamo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
343
Reaction score
359
Makampuni na Mabenki hawana sababu tena ya kukwepa kodi kwa kuwa wamerahisishiwa sana kupitia mfumo wa Retained Earnings’ ambao ni Suluhu ya kuzuia Uepaji Kodi wa Makampuni Makubwa nchini.

Twende nayo hatua kwa hatua

Juzi Waziri wa fedha Dk Mwigulu Nchemba,alisoma bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/26, ikiwa na mabadiliko kadhaa yenye lengo la kutoa nafuu kwa upande wa ulipaji kodi kwa Mabenki na makampuni Makubwa nchini.

Moja ya eneo linalotajwa kuwa na faida kubwa katika mabadiliko hayo ni kifungu cha 12 cha sheria ya Kodi ya Mapato,sura ya 322 yanayotajwa kuwanufaisha zaidi mabenki na Makampuni Makubwa kutokulipa kodi ya mapato ya kila mwaka kwa takriban shilingi bilioni 200.

Kwa ujumla, bajeti ya 2025/26 imeweka msingi mzuri wa mageuzi ya kiuchumi yanayojumuisha makundi yote ya wananchi Kwa kutoa misamaha kwa sekta za uzalishaji, fedha, madini na usafirishaji, kuweka mazingira rafiki kwa uwekezaji mkubwa, pamoja na kubuni mbinu mpya za kuongeza mapato kupitia kodi ya faida iliyohifadhiwa.

Uzoefu unaonyesha Makampuni mengi ya kimataifa na baadhi ya mabenki yalikuwa yakitumia hutumia njia hii KUEPA KODI na Kutoleta USAWA katika Ulipaji Kodi nchini. Hivyo basi, kuanzishwa kwa kodi hii kutaondoa Ukwepaji Kodi na Kuleta usawa wa kulipa kodi nchini.

Akizungumza wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali Waziri wa Fenda Nchemba alisema bajeti hiyo imebeba dhamira ya wazi ya kuleta mageuzi jumuishi ya uchumi kupitia ukusanyaji wa mapato ya ndani huku akiainisha maeneo yaliyopewa msisitizo mkubwa kuwa ni marekebisho ya kodi yaliyolenga kupunguza gharama za maisha kwa wananchi, kuchochea uwekezaji, na kuimarisha ukuaji wa uchumi.

Nchemba alisema sababu muhimu ya kuwa na misamaha hiyo ya Kodi ni kuwapatia Wananchi nafasi ya kuwa na maisha bora zaidi na kutaja miongoni mwa misamaha ya kodiinayopendekezwa inalenga kwa kiasi kikubwa kusaidia wananchi wa kawaida kuwa ni msamaha wa VAT kwenye nguo zinazozalishwa nchini kwa kutumia mali ghafi za ndani,Msamaha wa VAT katika viuatilifu,Mbole ana mafuta ya kula

Maeneo mengine ya Msamaha yaliyotajwa kupata nafuu ya kodi ya mapato ni kwa bodaboda, pikipiki za miguu mitatu (guta) na magari madogo ya mizigo inayotajwa kuwa ni suluhisho kwa waendesha vyombo hivyo waliokuwa wakihangaika na tozo zisizo rafiki.

Pia Nchemba, alianisha maeneo mengine ya Msamaha wa VAT ni kwa magazeti yanayochapishwa ndani ya nchi hatua inayolenga kuendeleza sekta ya habari na upashanaji Habari,pamoja na kutoa masharti nafuu kwa matairi ya matrekta ambayo yatapunguza gharama za kilimo kwa wakulima.

Aidha kwa mujibu wa Dk Mwigulu Misamaha hiyo pia imeyafikia makampuni makubwa hali inayotajwa kuwa imelenga kutoa fursa zaidi ya uwekezaji,ambapo Serikali imeendelea kuwaweka karibu wawekezaji kupitia maboresho ya sheria za kikodi.

Mojawapo ya eneo muhimu katika hili inatajwa ni marekebisho makubwa yaliyofanyika kwenye kanuni za riba za mikopo "thin capitalization" chini ya Kodi ya Mapato Sura 332.

Hapa inatajwa kuwa itatoa unafuu zaidi kwa wafanyabiashara wakubwa kwa kuwa nchi nyingi huweka masharti magumu yanayohusu ukomo wa madai ya riba kutoka kwenye mikopo kabla ya kukokotoa kodi ya mapato.

“Kupitia bajeti hii, serikali imependekeza kuruhusu makampuni kudai riba yote kama gharama ya biashara, jambo ambalo litasaidia makampuni mengi kupanua mitaji yao kupitia mikopo ya ndani na nje.”alisema

Kulingana na mtaalamu mmoja wa masuala ya fedha, nchi nyingi zimeweka ukomo kwenye madai ya gharama ya riba ili kuzuia ukwepaji wa kodi kupitia mikopo isiyosawia.

Hata hivyo Tanzania kwa upande wake, imechukua mwelekeo wa kuvutia uwekezaji zaidi kwa kutoa nafuu ya kodi ya takribani shilingi bilioni 200 kwa makampuni makubwa, hasa mabenki na taasisi za fedha zinazotegemea mikopo kama chanzo kikuu cha mapato.

Katika juhudi za kuongeza mapato bila kubana uchumi, serikali imependekeza kutoza kodi ya 10% kwenye faida inayohifadhiwa “retained Earnings” kwenye vitabu vya makampuni bila kugawiwa kwa wanahisa.

Kabla Makampuni mengi ya kimataifa na baadhi ya mabenki yalikuwa yanatumia njia hii Kkuepa kodi na Kutoleta USAWA katika Ulipaji Kodi nchini.

Hivyo basi, kuanzishwa kwa kodi hii kutaondoa Ukwepaji Kodi na Kuleta usawa wa kulipa kodi nchini.

Pendekezo hili limeibua mjadala mkubwa na kwa mujibu wa utafiti wangu, ni hatua sahihi na mahsusi ambayo nchi nyingi zimeitumia kwa muda mrefu, zikiwemo Kenya (tangu 1978), Marekani, India, China, Indonesia, Ufilipino na nyinginezo.

Kimsingi nchi nyingi zinatambua kuwa baadhi ya makampuni hutumia mbinu mbalimbali katika kukwepa kodi ikiwa ni pamoja na kutotoa gawio,ambapo nchi kama India imeenda mbali hadi kutoza mkopo yoyote ile watakayopewa wanahisi kutoka kwenye makampuni yao.

Akizungumzia moja ya maoni yaliyochukua nafasi kubwa zaidi katika mitandao ya kijamii juu ya double taxation,mtaalamu mwingine wa masuala ya kodi alisema ni vyema ikafahamika kuwa kodi hii haipaswi kuonekana kama mzigo mpya kwa kampuni, bali ni kodi ya zuio kwa wanahisa kwa kuwa ni sawa na kodi inayotozwa wakati wanapopokea gawio.

“Kama kampuni itahifadhi faida hiyo badala ya kuigawa, basi kodi hiyo italipwa mapema na kwa upande wa mwanahisa, ikiwa kodi hii italipwa awali na baadae akapokea gawio kutoka kwenye faida hiyo maana yake hatatozwa tena Kwa hiyo, hakuna kutozwa kodi mara mbili kama baadhi ya wadau walivyodhani.

Kuhusu athari za uwekezaji,alisema ni dhahiri kuwa hatua hii itachochea nidhamu katika kugawa faida, kuongeza ushiriki wa wawekezaji na kuongeza mvuto wa kampuni hasa zilizo katika soko la hisa la Dar es Salaam kwa kuwa wawekezaji watajua kuwa kuna uhakika wa kupata gawio, hali itakayoongeza thamani ya hisa na kuhamasisha makampuni zaidi kuorodheshwa sokoni.
 
Lord have mercy on us all, bunge linahitaj overhaul aisee
 
WE DON'T CARE. NA HATUNA HABARI.
downloadfile-2.jpg
 
Au ni mchongo tu?
 
Back
Top Bottom