DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wewe ni shida maana yale ambayo hukuyaelewa wakati unasoma ndiyo unayotaka serikali iyafuate. Ukisoma nusunusu unakuwa jinga. Mwalimu wako alikufundisha wewe umetokana na jani au alikufundisha kuwa" UMETOKANA NA MNYAMA JAMII YA NYANI?" Tuache wenye taaluma zetu. Wewe ongelea ujinga ulioelewa wakati unasoma nusunusu huko ulikosoma. Kwa taarifa yako ni kweli binadamu ametokana na mnyama jamii ya nyani. Wajinga wote wanafikiriaga labda kuna mtu aliamka tu akaamua kusema hayo. Kuna utafiti na ushahidi wa kisayansi ndugu yangu. Siyo kama wewe unaamka unabisha tu hujafanya utafiti wowote. Soma na kuelewa ndugu!Lugha ya kufundishia inabidi kuwa kingereza lakini mmeamua kupiga siasa
Wanafunzi kufundishwa masomo kuhusu wazungu jinsi walivyowatesa it's none sense. Futeni masomo ya History wanafunzi wasome history ya Tz na Dunia kwa Mambo ya msingi na sio kumwambia Mtoto eti katokana nyani .
So naomba Serikali acheni siasa katika Elimu
Sawa ... lakini mnawapoteza watz history lazima waizingatie.Wewe ni shida maana yale ambayo hukuyaelewa wakati unasoma ndiyo unayotaka serikali iyafuate. Ukisoma nusunusu unakuwa jinga. Mwalimu wako alikufundisha wewe umetokana na jani au alikufundisha kuwa" UMETOKANA NA MNYAMA JAMII YA NYANI?" Tuache wenye taaluma zetu. Wewe ongelea ujinga ulioelewa wakati unasoma nusunusu huko ulikosoma. Kwa taarifa yako ni kweli binadamu ametokana na mnyama jamii ya nyani. Wajinga wote wanafikiriaga labda kuna mtu aliamka tu akaamua kusema hayo. Kuna utafiti na ushahidi wa kisayansi ndugu yangu. Siyo kama wewe unaamka unabisha tu hujafanya utafiti wowote. Soma na kuelewa ndugu!
Nayo siyo suala la kuchagua tu. Aingie field afanye utafiti aone. Kadri yake yeye anajua labda kuna mtu tu aliamka asubuhi akasema hivyo. Umesoma hiyo kwa historia lakini imefanywa kisayansi. Waliosoma Biology vizuri, narudia, waliosoma vizuri na kuelewa hawawezi kuongea utumbo kama huyoMkuu kwenye history Kuna nadharia mbili za kuelezea asili ya mwanadam (the origin of man) nazo ni Revolution theory na Creation theory nashangaa umejikita kwenye nadharia moja tu na kuacha moja hulazimishwe kuamini bali chagua ambayo una ona ni sahihi kwako
Kuhusu lugha napendekeza English iwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi.