FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Habari za muda huu Wana JF!
Kuna hali ya mabadiliko imenitokea kwa kipindi cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe.
Nikiiona pombe, naikinai na najisikia kutapika. Sikuwa na wazo la kuacha pombe kabisa, lakini hivi karibuni imetokea ghafla tu. Watu walikuwa wananisema mno kwa kulewa pombe, ila sasa hivi hata wezangu wananiona sifai kisa wakiniita Club naagiza Soda au Energy drink.
Je, hiyo ni hali ya kawaida au kuna ujanja nmefanyiwa?