Mimi wana wananisemaga sana ila sijali kwa sababu siishi kwa kusikiliza wao wanatakaje, naishi nitakavyo mimi. Pombe huwa nakunywa nikiamua naweza zungusha raundi nikaishia kunywa maji tu.Kwakweli kabisa
Beer zote nazitia kasoro tu yaani alieniroga jaukawaida..
ila itakuwa unakunywa pombe ya aina moja ndio maana umekinai yani mzunguko wako wa unywaji sidhani kama unavuka hapa "bia na liquor(vinywaji vikali)".
huo ndio unywaji mwingi wa watanzania.
Pombe zipo za aina nyingi sikuhizi naona walau wabongo wameanza kunywa na wine pia!.
ila sio wanywaji wa cocktails!,sasa hapa ukikutana na mtaalum atakuchanganyia pombe kwenye cocktail usihisi kama kuna pombe ila ukalewa tu!..
we unakunywa tu halafu stimu inapanda tu shangaa ushaanza kuchangamka tu..
unywaji wa hizi liquor kavukavu husabababisha mtu kukinai haraka haswa baadhi ya hivi vinywaji ukizingatia huwa ni vikali..
wine pia kuna red,rose na white hizi hufaa sana kunywa mtu akishakula au wakati akiwa anakula japo kwa wengine kulewa ni wagumu maana alcohol yake huwa haizidi 20%...!
zipo ambazo ni dry na zipo ambazo ni sweet so uamuzi ni wakwako ktk ubadilishaji si rahisi kukinai...
narudi tena kwenye unywaji wa liquor,hizi zipo nyingi kuna kali sana na kuna za wastani na kuna nyengine ni tamu(liqueurs)..
hizi tamu unakuta ni very smooth hukunji sura kumeza!..[emoji23]
tena ukichanganya na kinywaji chengine ndo husikii kabisa ni kulewa tu!.
elimu ya pombe ni pana!.
Zingatieni hili "Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya zetu".
mwisho tafuteni hela pombe nzuri zipo sio unakunywa pombe mpk jicho linataka kukutoka!..[emoji23]
Hongera sana mkuu, sasa walevi watukanaji watapungua jf.Habari za mda huu Wana Jf
Kuna Hali ya mabadiriko imenitokea Kwa kipindi Cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe
Niikiona pombe naikinai najisikia kutapika na sikuwa na wazo la kuacha pombe kabisa hivi karibuni imetokea ghafla tu watu walikuwa wananiaminia mno Kwa kulewa pombe ila saivi hata company zangu wananiona snitch kisa wakiniita naagiza CLUB SODA au ENERGY DRINK
Je hiyo ni Hali ya kawaida au Kuna Ujanja nmefanyiwa?
Hadi jag"ermeista inaninukia kama whitedent herbalkawaida..
ila itakuwa unakunywa pombe ya aina moja ndio maana umekinai yani mzunguko wako wa unywaji sidhani kama unavuka hapa "bia na liquor(vinywaji vikali)".
huo ndio unywaji mwingi wa watanzania.
Pombe zipo za aina nyingi sikuhizi naona walau wabongo wameanza kunywa na wine pia!.
ila sio wanywaji wa cocktails!,sasa hapa ukikutana na mtaalum atakuchanganyia pombe kwenye cocktail usihisi kama kuna pombe ila ukalewa tu!..
we unakunywa tu halafu stimu inapanda tu shangaa ushaanza kuchangamka tu..
unywaji wa hizi liquor kavukavu husabababisha mtu kukinai haraka haswa baadhi ya hivi vinywaji ukizingatia huwa ni vikali..
wine pia kuna red,rose na white hizi hufaa sana kunywa mtu akishakula au wakati akiwa anakula japo kwa wengine kulewa ni wagumu maana alcohol yake huwa haizidi 20%...!
zipo ambazo ni dry na zipo ambazo ni sweet so uamuzi ni wakwako ktk ubadilishaji si rahisi kukinai...
narudi tena kwenye unywaji wa liquor,hizi zipo nyingi kuna kali sana na kuna za wastani na kuna nyengine ni tamu(liqueurs)..
hizi tamu unakuta ni very smooth hukunji sura kumeza!..[emoji23]
tena ukichanganya na kinywaji chengine ndo husikii kabisa ni kulewa tu!.
elimu ya pombe ni pana!.
Zingatieni hili "Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya zetu".
mwisho tafuteni hela pombe nzuri zipo sio unakunywa pombe mpk jicho linataka kukutoka!..[emoji23]
pumzika mwili pia hulazimisha mtu kupumzika kitu fulani ila ukija kurudi mbona tutasema...🤣Beer zote nazitia kasoro tu yaani alieniroga jau
Mimi mpaka wananiita shoga kabisa.Mimi wana wananisemaga sana ila sijali kwa sababu siishi kwa kusikiliza wao wanatakaje, naishi nitakavyo mimi. Pombe huwa nakunywa nikiamua naweza zungusha raundi nikaishia kunywa maji tu.
Achana na energy drinksHabari za mda huu Wana Jf
Kuna Hali ya mabadiriko imenitokea Kwa kipindi Cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe
Niikiona pombe naikinai najisikia kutapika na sikuwa na wazo la kuacha pombe kabisa hivi karibuni imetokea ghafla tu watu walikuwa wananiaminia mno Kwa kulewa pombe ila saivi hata company zangu wananiona snitch kisa wakiniita naagiza CLUB SODA au ENERGY DRINK
Je hiyo ni Hali ya kawaida au Kuna Ujanja nmefanyiwa?
yeah hiyo ni moja ya "herbal liqueur" wengi hupenda kuchanganya na red bull..Hadi jag"ermeista inaninukia kama whitedent herbal
hapo sasa,Pombe na ushoga wapi na wapi?
Ananyonyesha?Habari za mda huu Wana Jf
Kuna Hali ya mabadiriko imenitokea Kwa kipindi Cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe
Niikiona pombe naikinai najisikia kutapika na sikuwa na wazo la kuacha pombe kabisa hivi karibuni imetokea ghafla tu watu walikuwa wananiaminia mno Kwa kulewa pombe ila saivi hata company zangu wananiona snitch kisa wakiniita naagiza CLUB SODA au ENERGY DRINK
Je hiyo ni Hali ya kawaida au Kuna Ujanja nmefanyiwa?
nakazia..Achana na energy drinks