100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
nonsenseKuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29.
Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa faida na maslahi ya wananchi. Ni mkakati wa kutengeneza picha ya kufikirika kwamba nchini kuna uhuru wa habari, demokrasia, na uhuru wa kujieleza.
Hatua hii inalenga kujisafisha mbele ya Umoja wa Ulaya na jumuiya za kimataifa. Mashirika haya yanafuatilia kwa karibu mienendo ya nchi, hali inayopelekea hata mikutano ya CHADEMA kutozuiwa kwa sasa ili kulinda taswira hiyo. Maana kuna malalamiko huko kwamba vyombo vya habari Tanzania havina uhuru na uhuru wa kijieleza haupo.
Na hio taasisi zinafuatilia, kwa kufanya hivyo wanaonyesha si kweli kinachosemwa.
Soma Pia: Msigwa: Nchi yetu imetoa uhuru wa kutosha wa kujieleza na kutoa maoni, Vyombo vya habari vipo huru kuandika chochote ambacho ni sahihi
Kingine naona ni mikakati ya kupunguza hasira kwa wananchi na kuna uwezekano mkubwa viongozi wakuu walishauriwa na wazee wenye busara ama watu wenye akili kuruhusu watu waseme na kutoa hasira zao. Maana kuwadhibiti ingeleta hasira zaidi na kungetokea vurugu zaidi.
Kiuhalisia, mifumo na tabia halisi ya serikali hii haijawahi kuwa hivi.. hii ni miendendo fake...
Au wenzangu mnaonaje? Lakini yote na yote naona its too late
Wakati wapo mafisi wanaotamani wakabidhiwe mamlaka kwa siku moja waiangamize chadema,ila niliwashauri waangamize kwanza familia zao kabla ya kujaribu kuiangamiza Chadema chama kinacho lipenda na kuitetea Tanzania na watu wake bila ubaguzi,ufisadi,matumizi mabaya ya dola na rasilimali zake,ila kwa michsngo ya hiari ya wazalendo wataifa hili,hata baada ya ccm na dola yake kuzuia ruzuku halali kisheria iliyotakiwa kugharimia shughuli za chama!Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29.
Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa faida na maslahi ya wananchi. Ni mkakati wa kutengeneza picha ya kufikirika kwamba nchini kuna uhuru wa habari, demokrasia, na uhuru wa kujieleza.
Hatua hii inalenga kujisafisha mbele ya Umoja wa Ulaya na jumuiya za kimataifa. Mashirika haya yanafuatilia kwa karibu mienendo ya nchi, hali inayopelekea hata mikutano ya CHADEMA kutozuiwa kwa sasa ili kulinda taswira hiyo. Maana kuna malalamiko huko kwamba vyombo vya habari Tanzania havina uhuru na uhuru wa kijieleza haupo.
Na hio taasisi zinafuatilia, kwa kufanya hivyo wanaonyesha si kweli kinachosemwa.
Soma Pia: Msigwa: Nchi yetu imetoa uhuru wa kutosha wa kujieleza na kutoa maoni, Vyombo vya habari vipo huru kuandika chochote ambacho ni sahihi
Kingine naona ni mikakati ya kupunguza hasira kwa wananchi na kuna uwezekano mkubwa viongozi wakuu walishauriwa na wazee wenye busara ama watu wenye akili kuruhusu watu waseme na kutoa hasira zao. Maana kuwadhibiti ingeleta hasira zaidi na kungetokea vurugu zaidi.
Kiuhalisia, mifumo na tabia halisi ya serikali hii haijawahi kuwa hivi.. hii ni miendendo fake...
Au wenzangu mnaonaje? Lakini yote na yote naona its too late
Sii kweli, Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kablaKuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29.
Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa faida na maslahi ya wananchi. Ni mkakati wa kutengeneza picha ya kufikirika kwamba nchini kuna uhuru wa habari, demokrasia, na uhuru wa kujieleza.
Tujisafishe kwani ni wachafu?, Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?Hatua hii inalenga kujisafisha mbele ya Umoja wa Ulaya na jumuiya za kimataifa. Mashirika haya yanafuatilia kwa karibu mienendo ya nchi, hali inayopelekea hata mikutano ya CHADEMA kutozuiwa kwa sasa ili kulinda taswira hiyo.
Tuko huru sana, na Tanzania ni kinara Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?Maana kuna malalamiko huko kwamba vyombo vya habari Tanzania havina uhuru na uhuru wa kijieleza haupo.
too late for what?Na hio taasisi zinafuatilia, kwa kufanya hivyo wanaonyesha si kweli kinachosemwa.
Au wenzangu mnaonaje? Lakini yote na yote naona its too late
nonsense
Hii nchi uhuru wa vyombo vya habari imekuwa ndoto kwa muda mrefu, achana na matukio ya waandishi wa habari kutekwa, kuuawa na kupotezwa na hata kusingiziwa kesi.Sii kweli, Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla
Tujisafishe kwani ni wachafu?, Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?
Tuko huru sana, na Tanzania ni kinara Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
too late for what?
Rejea 10 za uhuru wa habari Tanzania. Ukitaka 20 ninazo, ukitaka 30 pia ninazo!.
p
- Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?.
- Leo ni Siku ya Uhuru wa Habari: Pongezi Waziri Makonda Kuusema Ukweli Mchungu, Pesa Ndio Kila Kitu, Hakuna Uhuru Bila Pesa. Waandishi Tafuteni Pesa
- Maisha ya Sasa, Pesa Ndio Kila Kitu!, Hakuna cha Bure!, Je Umefika Wakati Habari Zilipiwe?Bila Pesa Hakuna Habari!. Media Zilipwe, Waandishi Tulipwe?
- Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!
- Pongezi Bodi ya Ithibati kwa Waandishi wa Habari kwa Mwanzo Mzuri, Cheti Kisitumike kama Fimbo Kuwachapia Wenye Vipaji, Uwezo na Uzoefu wasio na Cheti
- DOKEZO - Waandishi wa Habari na Media Tanzania, tunateseka sana! Kosa moja, hukumu mbili, kupitia Sheria mbili, Mamlaka mbili Tofauti!. Ni Haki? Tufanyeje?
- Uliona Wapi, Kosa Moja, adhabu mbili, Sheria mbili, Mahakama Mbili?!. Only in Tanzania! Je ni Wakati wa Media Kuwa Chini ya Sheria Moja?
- Media, Tukiendelea Kunyamazia Unyanyasaji wa Uhuru wa Habari Unaofanywa na JAB na TCRA, Mwisho wa Siku, Ama Tutanyamazishwa Jumla Ama Tuwe Machawa?.
- Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
- Media ni Mhimili Muhimu kama ile mitatu ila ni dhaifu kiuchumi. Je, imefika wakati wapewe Ruzuku au iachwe ipambane na hali yake?
Nidhamu ya machoko ya ccmCHAMBUZI ZIKIENDESHWA KWA NIDHAMU SIONI SHIDA NDUGU
Hapa kaka kama umeshikiwa bunduki au vitisho ulivyojibu simple.Ukweli ni kwamba uhuru mumekosa rejea ile video yakoSii kweli, Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla
Tujisafishe kwani ni wachafu?, Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?
Tuko huru sana, na Tanzania ni kinara Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
too late for what?
Rejea 10 za uhuru wa habari Tanzania. Ukitaka 20 ninazo, ukitaka 30 pia ninazo!.
p
- Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?.
- Leo ni Siku ya Uhuru wa Habari: Pongezi Waziri Makonda Kuusema Ukweli Mchungu, Pesa Ndio Kila Kitu, Hakuna Uhuru Bila Pesa. Waandishi Tafuteni Pesa
- Maisha ya Sasa, Pesa Ndio Kila Kitu!, Hakuna cha Bure!, Je Umefika Wakati Habari Zilipiwe?Bila Pesa Hakuna Habari!. Media Zilipwe, Waandishi Tulipwe?
- Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!
- Pongezi Bodi ya Ithibati kwa Waandishi wa Habari kwa Mwanzo Mzuri, Cheti Kisitumike kama Fimbo Kuwachapia Wenye Vipaji, Uwezo na Uzoefu wasio na Cheti
- DOKEZO - Waandishi wa Habari na Media Tanzania, tunateseka sana! Kosa moja, hukumu mbili, kupitia Sheria mbili, Mamlaka mbili Tofauti!. Ni Haki? Tufanyeje?
- Uliona Wapi, Kosa Moja, adhabu mbili, Sheria mbili, Mahakama Mbili?!. Only in Tanzania! Je ni Wakati wa Media Kuwa Chini ya Sheria Moja?
- Media, Tukiendelea Kunyamazia Unyanyasaji wa Uhuru wa Habari Unaofanywa na JAB na TCRA, Mwisho wa Siku, Ama Tutanyamazishwa Jumla Ama Tuwe Machawa?.
- Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
- Media ni Mhimili Muhimu kama ile mitatu ila ni dhaifu kiuchumi. Je, imefika wakati wapewe Ruzuku au iachwe ipambane na hali yake?
Tatizo sio nidhamu, bali ni ukweli. Kwani Polepole alitekwa kwa utovu ww nidhamu au kusema ukweli?CHAMBUZI ZIKIENDESHWA KWA NIDHAMU SIONI SHIDA NDUGU
Nani anayeamua chambuzi ni za nidhamu au sio za nidhamu?CHAMBUZI ZIKIENDESHWA KWA NIDHAMU SIONI SHIDA NDUGU
Inachangia pia, na kuna uwezekano hilo suala lilienda sambamba na wamiliki wakubwa wa media kulalamika kuhusu vyombo vyao vya habari kupoteza uaminifu/credibility kwa wananchi.Views pia, itakuwa watu wamechoshwa na habari za Simba, Yanga, Mwajaku, Dotto Magari, Zuchu n.k na wameamua kurudi kwenye mambo ya msingi maana sizisikii tena kwa sana hizi habari za kipuuzi.
Issue sio nidhamu , kwa CCM issue ni kuwaambia ukweli.CHAMBUZI ZIKIENDESHWA KWA NIDHAMU SIONI SHIDA NDUGU