Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Naomba kujulishwa kuhusu hili. Ninapata maumivu makali sana ya tumbo, kiuno na miguu wakati wa hedhi na nisipokunywa dawa maumivu haya hunisababishia kutapika sana kila ninachokula na hata kuzimia na ninapata mvurugiko wa siku zangu za mzunguko. Je hili ni tatizo au hali ya kawaida ya maumbile? Na je baadae halitaniletea matatizo pale nitakapotaka kupata mtoto?