mzizi mkavu kama upo kaka have a much concern
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,tatizo langu ni kwamba mwili wangu uko so hot most of the time hata hivyo kuna wakati huwa temp inachange nakuwa wa baridi hasa nikitembea kwenye ubaridi,yani mpaka najihisi kuwa nawezakuwa na tabia za kireptilia. mkuu nomba unijuze inaweza ikawa ni kitu gani hii
na kwa wanajamvi wenye kufahamu tafadhali,nawasilisha