Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Rais samia amefanya mengi yakukumbukwa, kama mkuu wa nchi lakini pia kama mwenyekiti wa ccm.
Jambo kubwa sana ndani ya chama, ni kusimamia mabadiliko ya katiba ya ccm kupanua wigo wa demokrasia. Kupitia mabadiliko haya tumeshuhudia idadi ya wagombea kuongezeka katika majimbo.
Kupanuka kwa demokrasia kwenye chama, kunatoa fursa ya wajumbe kuwa na uwanja mpana wa kuchagua wagombea wanaowataka. Jambo hili litatoa hamasa kwa watu wengi zaidi kushiriki uchaguzi.
Hongera sana Dr. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania